Kama ni kweli hamna slums basi hongera.Nitakuletea na picha ya maeneo ya nyuma ya hiyo mitaa.Hakuna mahali km vile ilala stay tuned.View attachment 1212693
Itakuwa wewe kweli umeishi kibera. Unajua mambo mengi kuihusu. Pole kwa maisha magumu bro.Heeeee wakenya wenzako wametika kupinga makala ya mkenya kuhusu tofauti ya maisha dar na naiii wakasema siyo mkenya eti mkenyagani ajui kibera anaita KIBRA kumbe mnajua kibera ni kibra .... Neno kibra utumika kuashiria machinjioni kwa hapo kibera
Kwa hiyo ile kibera ni upgraded???Tena sio Kibra[emoji23][emoji23][emoji23]. Mumeona after Upgrades kadhaa Kibra inapotea mkakimbia Mathare. These slums are there because of poor housing regulations by the government na watu wanaishi hapo wanalipa rent na stima. Hizi sio zile dream house zenu permanent.
Itakuwa wewe kweli umeishi kibera. Unajua mambo mengi kuihusu. Pole kwa maisha magumu bro.
Wakati wengi mkiwahurumia wakati wa Kibera, mumesahau kwamba kuna mdogo wake yupo katika hali mbaya kuliko Kibera. Ninawaomba japo dakika moja tusimame kimya kuikumbuka "Mathare slums camp"..........Amen.
Top ten ya dunia Kenya zipo nneLeo ni nne tu! Sio ishirini tena?
Umeelewa swali nililouliza?! Au ndo Southern Dar es salaam hiyo?!
Dude!!That area on Kilwa Road and the entire area around the Mbagala Rangi Tatu stage looks WORSE than Mathare.Shida yenu mnadhani watu hawatembeangi!!Taja sehemu moja huko Southern Dar iliyo kama Mathare!! Unakujua, au unasikia tu kwamba Southern Dar ndie eneo lenye watu maskini zaidi?!
Dude!!That area on Kilwa Road and the entire area around the Mbagala Rangi Tatu stage looks WORSE than Mathare.Shida yenu mnadhani watu hawatembeangi!!
Unamaanisha nini unaposema "that area on Kilwa Road"?!Dude!!That area on Kilwa Road and the entire area around the Mbagala Rangi Tatu stage looks WORSE than Mathare.Shida yenu mnadhani watu hawatembeangi!!
Angalia hii video kisha ushike adabu
Endeleeni kutengeza barabara tu...hlafu chumba cha tsh 25k ni chumba cha aina hicho mkuu...
Duh!!ndo manake omba omba wanafurika hku..
Based on statistics that were forged.Top ten ya dunia Kenya zipo nne
Ndugu yangu kibera ina jieleza yenyeweBased on statistics that were forged.
They claim Kibera has a million people yet the most it had in the last census was 120,000. That makes it smaller than the likes of Lekke in Lagos or even the Cape Flats or Alexandria in South Africa. In fact, no slum in Kenya makes it in the top 10 as all of them have populations aboe half a million and none of Kena's slums have such statistics.
Those statistics were forged by NGOs aiming to milk Westerners of their money.At some point, 33% of Kiberans were getting free services from an NGO because of those statistics.
Based on statistics that were forged.

Do you really know Tanga?You do realize what you call a town equates to a Kenyan slum.
Like most of Tanga and much of Southern Dar??