Mathare slums, which is few minutes from CBD, is the poorest part in entire World

Mathare slums, which is few minutes from CBD, is the poorest part in entire World

Heeeee wakenya wenzako wametika kupinga makala ya mkenya kuhusu tofauti ya maisha dar na naiii wakasema siyo mkenya eti mkenyagani ajui kibera anaita KIBRA kumbe mnajua kibera ni kibra .... Neno kibra utumika kuashiria machinjioni kwa hapo kibera
Itakuwa wewe kweli umeishi kibera. Unajua mambo mengi kuihusu. Pole kwa maisha magumu bro.
 
Tena sio Kibra[emoji23][emoji23][emoji23]. Mumeona after Upgrades kadhaa Kibra inapotea mkakimbia Mathare. These slums are there because of poor housing regulations by the government na watu wanaishi hapo wanalipa rent na stima. Hizi sio zile dream house zenu permanent.
Kwa hiyo ile kibera ni upgraded???
 
Wakati wengi mkiwahurumia wakati wa Kibera, mumesahau kwamba kuna mdogo wake yupo katika hali mbaya kuliko Kibera. Ninawaomba japo dakika moja tusimame kimya kuikumbuka "Mathare slums camp"..........Amen.

Copy to : MK254
 
V2KFif0.png
Umeelewa swali nililouliza?! Au ndo Southern Dar es salaam hiyo?!

Btw, yaani kwa akili yako unaamini kabisa kwamba ni makazi ya watu hapo?! Picha yenyewe ni ya mwaka 2007; miaka 12 iliyopita~~
Dar.png

Pili, hiyo picha reference yako sijui ni ipi!! Labda hiyo picha ya chini ambayo unaamini kabisa ni makazi hayo?!

FYI, hapo itakuwa ni moja tu kati ya baadhi ya maeneo yaliyokuwa katikati ya jiji ambayo back in the days ama yalikuwa yamezungushiwa uzio au yapo wazi waiting for construction!

Kwa sasa hakuna eneo hata moja! Eneo la mwisho lilikuwa pale Posta Mpya, jirani na Haidery Plaza ambalo na lenyewe lilishajengwa kitambo!!

Sasa rudi kajibu swali langu!
 
Taja sehemu moja huko Southern Dar iliyo kama Mathare!! Unakujua, au unasikia tu kwamba Southern Dar ndie eneo lenye watu maskini zaidi?!
Dude!!That area on Kilwa Road and the entire area around the Mbagala Rangi Tatu stage looks WORSE than Mathare.Shida yenu mnadhani watu hawatembeangi!!
 
Dude!!That area on Kilwa Road and the entire area around the Mbagala Rangi Tatu stage looks WORSE than Mathare.Shida yenu mnadhani watu hawatembeangi!!
Unamaanisha nini unaposema "that area on Kilwa Road"?!

Man, huwezi kulinganisha Mathare na Mbagala Rangi 3! Tatizo la slums za Tanzania ni kutojenga kwa mpangilio lakini mara nyingi nyumba zinakuwa bora!! Pia napata shaka ukiwa kweli hiyo Mbagala Rangi 3 unaifahamu! Sehemu iliyojengwa hovyo along Kilwa Road ni Mbagala Msikitini, kisha kipande kinachoanzia Misheni kuelekea Sabasaba! Na sababu kubwa ni geography ya eneo lenyewe kwa sababu kuna miinuko!!

Na nakueleza hili hapa chini kwa ukweli wa 100%. Binafsi sekondari nimesoma Mbagala back in 1990's!! Hilo eneo la Misheni kuelekea Sabasaba hata mimi lilikuwa linanishangaza na kujiuliza hivi watu wanaishi ishi vipi kule!!

Sasa kuna siku I don't know what happened... sijui nilikacha class au vipi! Nikaenda kule kunaonekana vibanda wakati unapita barabarani! Nilichokiona nilikuwa very surprised! Pamoja na vibanda vinavyoonekana ukipita barabarani kwa sababu vipo kwenye mwinuko, kumbe kwenye lower level kuna nyumba mzuri tu, na mazingira yake ni mazuri!

Hiyo ni mid 1990's!! Halafu unataka kulinganisha Mbagala na Mathare?!
 
Top ten ya dunia Kenya zipo nne
Based on statistics that were forged.
They claim Kibera has a million people yet the most it had in the last census was 120,000. That makes it smaller than the likes of Lekke in Lagos or even the Cape Flats or Alexandria in South Africa. In fact, no slum in Kenya makes it in the top 10 as all of them have populations aboe half a million and none of Kena's slums have such statistics.
Those statistics were forged by NGOs aiming to milk Westerners of their money.At some point, 33% of Kiberans were getting free services from an NGO because of those statistics.
 
Ndugu yangu kibera ina jieleza yenyewe
 
Here is the one from kibera [emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom