Mathare slums, which is few minutes from CBD, is the poorest part in entire World

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Wakati wengi mkiwahurumia wakati wa Kibera, mumesahau kwamba kuna mdogo wake yupo katika hali mbaya kuliko Kibera. Ninawaomba japo dakika moja tusimame kimya kuikumbuka "Mathare slums camp"..........Amen.
 
Ameen huko ni hatari kwenye makala ya BBC huko kuna vibaka hatari sana wana ua yule askari ana itwa Rashid ana fanya kazi ngumu kuwa dhibiti..Mathare imepakana na Isili kwa Wasomali wana waibia wasomali kwa kuua au kuwa choma kisu ukipata mda itafute hiyo makala una weza lia
 
Ngoja niitafute
 
Wakati wengi mkiwahurumia wakati wa Kibera, mumesahau kwamba kuna mdogo wake yupo katika hali mbaya kuliko Kibera. Ninawaomba japo dakika moja tusimame kimya kuikumbuka "Mathare slums camp"..........Amen.

The exaggerated numbers are just a marketing ploy to raise money which has been a big business in these slums. One of the key reasons they can,t end. How can mathare slum which is at most 1 km2 have 800000 people.????????
 
Give us the correct number, does it matter really?
 
Wakati wengi mkiwahurumia wakati wa Kibera, mumesahau kwamba kuna mdogo wake yupo katika hali mbaya kuliko Kibera. Ninawaomba japo dakika moja tusimame kimya kuikumbuka "Mathare slums camp"..........Amen.
Dah bro inatoa machozi hii video.
Yani mpk wanathubutu kuitaja kuwa the poorest in the world.
Yani watu wanalala ktk kibanda sio chumba kibanda cha futi 12 ×12 wapo 11 ujumlishe na mbuzi 6.
Daaaah asee Uhuru kenyatta anasubiri nn kuwapatia msaada hawa watu hawaishi dunian ni km wapo akhera mazeeh.
 
Wacha ujinga ,si utafute zile za Tandale , Manzese na slums nyingine ziko dakika chache tu kutoka Dar CBD ?
Weeee maisha ya Tandale sio mabovu hvyo.
Tandale hakuna mtu anakaa chumba cha 12×12 .
Tandale hakuna mtu analala na mbuzi.
Yani masikini jeuri ninyiiiiii.
 
Back
Top Bottom