Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.

Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?

Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Hapa nionavyo mimi na wenzangu wengine hapa na ni baadhi ya wanachadema ni kwamba wafuasi wengi wa chadema waliona vishindo vya ccm kwenye kampeni zao na wakujua kwamba hapa hakuna ushindi kwa chadema kwahiyo wakaamua kuacha kupiga kura maana waliona ni kupoteza muda ndio maana kura za Lisu zikawa kidogo hivyo. Na sasa hata hayo maandamano hawataki kushiriki na wamebakia hao milioni na nusu sasa wanao piga Kelele mitandaoni.
Kiukweli hata iweje awamu hii ccm Ina watu wengi kuliko hapo nyuma.
 
Hivi unamsimamishaje Salum Mwalimu eti awe makamu wa rais? Ni dharau kwa watanzania na watanzania wekataa kudharauliwa.
Kwani yule demu anakitu gani maalumu? Si anaenda tu katika uzinduzi, jamaa yake wala hasafiri kumuachia ofisi kidogo.
 
We’re just going in circles. You may have your own definition of people’s voice, but people’s voice in the context of democracy is the voice of the majority. So far, you haven’t been able to convincingly demonstrate that those who said yes to Lissu are more than those who said yes to Magufuli. You cannot just assume that, because you said yes to Lissu, the majority said yes to Lissu. That isn’t how democracy works! By the way, there aren’t going to be a time when we will have a leader who is accepted by everybody. There’ll always be people who say no. That’s fine!

Each country is unique. Economic solutions aren’t one-size-fits-all solutions. What works for Ethiopia may not work for Tanzania and the other way around. The approach that a country takes is, therefore, typically reflective of the country’s unique circumstances. You have given me no reason to believe that you’re sufficiently privy our country’s circumstances let alone Ethiopian circumstances. You may be comparing the two countries just for the sake it!

You’re making a lot of unsubstantiated claims. Obviously, the quality and extent of service delivery to Tanzanians has improved significantly during Magufuli’s administration. Your mention of water projects was an unfortunate one. The water availability issue has been tackled and alleviated in ways that we haven’t seen before. Seek and obtain the correct information; don’t just rely on flip flopping Savimbis!

Those who are bitter because their corrupt ways of getting richer have been decimated have to adapt to the new way of life. Rampant corruption is the one thing that a country cannot afford, if it truly wants to set itself up for a long-term prosperity!

"The Ghost votes" have determined the CCM victory, the votes were secretely prepared purposely to help CCM escape the would be its total down fall and that is a raping of people's democratic rights so to say. I suppose, you and I believe in divine power; let's wait and see for the next 5yrs term governance of CCM whether there will be any difference in overall people's lives, the lives without terror, hunger, unemployment, freedom of speech and association, political freedom, personal economic development vis a vis the entire country economy.

Principally, almost African countries economies fabrics are made out of the same or similar cloth, we mainly have to export abroad agricultural produces , tourism, minerals etc, to get foreign incomes,---- all I want to say is; our economies have the same pattern in COMMON and in this case I totally disagree with you that what works economically in Ethiopian or elsewhere in an African country would not work in Tz, it rather deems fit to study economy trend and behaviour of an African country as a comparator to another African country than do the same to the American or European economies as disparities are too much resounding.

I am not a direct destitute or a victim of Magu economic chaos, I am a self employed running my own business, my contention with the Magu governance, and that is the main theme of my outcry is; the goverment which he self-declared to be for Wanyonge is actually not for them instead it is for assination of Wanyonge through many vicious unspeakable ways, one of which is a carelessly heavy taxation of business of Wanyonge (the poor common men and women) and Indudtries alike which employ the Wanyonge, eg the Industries Viz; TTPL, Mazava, TPL which used to employ a lot of Wanyonges are currently closed down due TRA cruel taxation moves. Men and women formely employed in those industries are now roaming around jobless, to cater their daily livelihood and subsistence women have to sell their bodies -- they are forced into inhumanity only by one "god-man" remotely control each and every thing by himself without taking his close aides advices. Chemistry versus economy🤣!!!.

let's live to see more coming sagas in pretext of developments humdrum.
 
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.

Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?

Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.

Mjinga mkubwa wewe. Uliza kilichofanyika uelezwe siyo kuja na unfounded mathematical theories ambazo hata kuzielezea vizuri umeshindwa.
 
Ninachokiona, kura za vituoni hazijakwenda kujumlishwa NEC... Kura za vituoni na zile kule NEC ni tofauti...

Ushindi halali kabisa wa kimatokeo ni ule wa jimbo la Nkasi Kaskazini... Alikoangushwa yule babu mwenye kelele Kessy....
Hivi Huwa mnahesabu wale watu wa kwenye maandamano au?? The truth is watu wenu chadema hawajapiga kura!!!! Mkubali mkatae ila ukweli ndio huo!!!!
 
Mjinga mkubwa wewe. Uliza kilichofanyika uelezwe siyo kuja na unfounded mathematical theories ambazo hata kuzielezea vizuri umeshindwa.

Followers wengi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema) mmekuwa mzigo tu kwa chama chenu. Jifunzeni kujenga hoja mkisaidie chama; otherwise, your party is on track to collapse on your watch!
 
Kuna scenario nyingi ila mojawapo ni kuwa kila kituo kilikuwa na kura zake prefilled already na walichofanya ni kureplace kabisa na zile kura zoote zilizopigwa kwenye vituo husika. Basically hakukuwa na uchaguzi.

Na hili liliwezekana tu kwa kuwa vituo vingi CHADEMA hawakuweka mawakala kabisa (poor organisation na/ama ukosefu wa fedha), au mawakala walizuiwa kuingia ndani, au mawakala walitolewa nje wakati wa majumuisho au mawakala wa CHADEMA walitishwa na kuhongwa fedha au mawakala walikuwa dhaifu sana (low reasoning capacity) na wakatii kinachofanyika bila kuhoji

Kuna mengi ya kujifunza ila hakuna haja ya Upinzani kushiriki tena chaguzi kwa matumaini ya kuambulia viti vichache ili Ruzuku kiduchu ipatikane
Mawakala dhaifu,walihongwa,walizuiwa(na hawakulalamika/paza sauti popote) ni mambo yanayofikirisha sana na kuibua kuhoji weledi wa Chadema kwenye haya maswala.Mimi kituoni kwangu wakala wa Chadema alifika saa 7:47 na akataka tumpishe mstarini aingie eti ye ni wakala,hapo for 40 minutes watu washapiga kura na kuondoka.Binafsi nilimkatalia na akaanza kufanya vurugu anapiga kelele kuwa anaonewa.Sasa wakala aingie kituoni almost an hour toka uchaguz uanze na alalamike kuibiwa,KWELI??
Chadema inasikitisha sana
 
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.

Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?

Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
expand...
Miradi mingi Tanzania infadhiliwa na mabeberu mpaka mabarabara , elimu ya bure etc sasa ngoja world bank, usa, eec, UK, Sweden, Denmark, canada, Netherlands etc. waashukie ndio mtajua...ni msibaa maana we almost depend on donors by 60-70 of our budget support.
 
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.

Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?

Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Tuseme uko sahihi, suali na wabunge wa upinzani kuanguka nchi nzima?
 
Followers wengi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema) mmekuwa mzigo tu kwa chama chenu. Jifunzeni kujenga hoja mkisaidie chama; otherwise, your party is on track to collapse on your watch!

No way, your party will be first to collapse prior to ours.

CCM had and still have internal conflicts since Mkapa era.
 
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30 million. No one knew before the fact what the voter turnout would look like.

Magufuli angejaziwa kura za bandia 10 million halafu turnout ikawa 25 million na Lissu akapata kura hata 15 million tu, fraud scheme ingepasuka kwa aibu kubwa. Nani atafanya kosa kama hilo?

Alternatively, kama kura halali za Magufuli ni chache kuliko za Lissu, maana yake voter turnout haikufika hata 4 million. This too doesn’t make any sense!

The only way to argue that Lissu won is to show that some of Lissu’s votes were thrown out or counted as Magufuli’s.

Ushauri wa bure kwa wafuasi wa Chama Cha Demokrasia ya Matusi (Chadema): Katika kuchangia, tambueni kuwa matusi sio substitute ya nguvu ya hoja; jengeni hoja mshawishi watu.
Unachanganya Kiswahili na Kiingereza lakini Unakosa Kujua, Ktk Hali ya Kawaida CCM isingewashinda CHADEMA kwa kura Hizo..Urguments zako zijikite Kama je uchaguzi Ulikuwa huru na Haki then..Kama haukuwa huru na Haki basi Hata wangempa kura 10 Lisu watakuwa wamempendelea sana maana Kwa ilivyotokea Lissu ilibidi Hapate kura chini ya 10. Uchaguzi ulivurugwa Haijawahi kutokea...
 
Hawa waheshimiwa wanafanya kosa la kutotambua reality ipo vipi.

Wanaongozwa na hisia zaidi ambayo ni sifa ya uanaharakati kuliko uanasiasa uliokomaa.

Lissu tangu Septemba 2017 yupo kitandani akifanyiwa operations tena kubwa na Magufuli tangu 2015 yupo kazini mpaka kilipofika kipindi cha kampeni.

Uchaguzi wa mwaka huu umekuwa mwepesi kuliko ule wa 2015 upinzani ukiwa na Lowassa.
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
Una maana Lissu alipata zero?
 
Mwingine Huko Ivory Coast naye 99% ukijumlisha na za wenzie zavuka 100% ! Aliyeliloga hili bara sijui alikua nani..
 
Unachanganya Kiswahili na Kiingereza lakini Unakosa Kujua, Ktk Hali ya Kawaida CCM isingewashinda CHADEMA kwa kura Hizo..Urguments zako zijikite Kama je uchaguzi Ulikuwa huru na Haki then..Kama haukuwa huru na Haki basi Hata wangempa kura 10 Lisu watakuwa wamempendelea sana maana Kwa ilivyotokea Lissu ilibidi Hapate kura chini ya 10. Uchaguzi ulivurugwa Haijawahi kutokea...

Kuna kitu kimoja watu wengi hawakielewi. A free and fair election doesn’t mean the election was perfect. It just means that the outcome of the election would have been the same, if the irregularities identified had not occurred. Hii ndiyo standard inayotumiwa na election experts na mahakama.
 
Mjinga mkubwa wewe. Uliza kilichofanyika uelezwe siyo kuja na unfounded mathematical theories ambazo hata kuzielezea vizuri umeshindwa.

Povu la nini? Jukwaa lipo; weka na wewe analysis yako tupime veracity yake!
 
Uchaguzi umeisha na mshindi halali ni Rais Magufuli, tuungane katika kujenga nchi.

Hongera Mgufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mpaka sasa wabunge wanaomba matundu ya vyoo shule hayo ndio maaendeleo
 
mavi ya kuku mpaka sasa wabunge wanaomba matundu ya vyoo shule hayo ndio maaendeleo

Nadhani huu ni uvivu wa kufikiria! Hivi hujui kwamba jukumu la kuijenga hii nchi ni la kila Mtanzania. Usidhani kuongoza na kuijenga hii nchi ni swala la watu fulani tu.

Babu na baba yako walikuwa na haki ya kugombea nafasi za uongozi ili watumie visions na maarifa yao kuijenga hii nchi. Kama hawakufanya hivyo, basi lawama zako zianzie kwao kabla hujawafikiria waliojaribu!
 
Back
Top Bottom