Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 504
Hivi Nchi hii hakuna wanataaluma wa kuanzisha vitu muhimu kama hivi? Mashindano haya yamekuwapo tangu miaka ya 1930 Ulaya na Marekani.... pamoja na yale ya Physics, Chemistry na Biology...! Why dont we initiate such things? Ofcourse inaonesha South Africa, Egypt, Algeria na Tunisia zilishiriki miaka fulani,baadae zikachomoa.
Maprofessor wetu wa Mahesabu wako wapi?
Maprofessor wetu wa Mahesabu wako wapi?