Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Mchezaji wa Mtibwa Matheo Anthony kachungulia makosa ya Ukuta wa Simba na kubaini makosa yake na hapo hakufanya makosa alitokea na kuupasuapasua vipande japo ni wa Umeme.
Pamoja na Ushindi walioupata Simba huyu ndiye aliyeutia doa kwa kutupia magoli yote mawili. Na kufanya kuwa mpaka mwisho wa mchezo >>>>> Mtibwa 2 - 4 Simba
Pamoja na Ushindi walioupata Simba huyu ndiye aliyeutia doa kwa kutupia magoli yote mawili. Na kufanya kuwa mpaka mwisho wa mchezo >>>>> Mtibwa 2 - 4 Simba