Matheo Antony aupasua ukuta wa umeme wa Simba

Matheo Antony aupasua ukuta wa umeme wa Simba

Mpira ni mchezo wa makosa! Kukosea kwake leo isiwe judgement kwake. Mbona Utopolo ambao ni bora kuliko Mtibwa mlimshindwa?
Hamna beki pale.... ! Muda utatoa majibu sahihi... Simba kama kuna mchezaji wamesajili ni Ngoma
 
ukijisifu una mbio msifu na anayekukimbiza. simba 4 mtibwa 2.
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Back
Top Bottom