Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Mmmmm yeriko mapema hivi chali khaaaaKwani kutobolewa kwa mdaka mishale kulileta tafsiri gani?
Mpira ni mchezo wa makosa! Kukosea kwake leo isiwe judgement kwake. Mbona Utopolo ambao ni bora kuliko Mtibwa mlimshindwa?Mmmmm yeriko mapema hivi chali khaaaa
Badala ya kuandika maelezo mengi, hii ndio iliyokuwa iwe summary yako. Hongera hata hivyo kwa kuiweka, japo ipo mwishoni kabisa... mpaka mwisho wa mchezo >>>>> Mtibwa 2 - 4 Simba
MWAMNYETO NI NANI HAKUNA BEKI PALE WA KUSHINDANA NA UKUTA WA YERIKOElectrical fance (Ukuta wa Yericko) umetobolewa kirahisi sana.
Goli mbili za faster kutoka kwa "Mathew" moja likitokea kwa Mohammed Husen na lingine likitoka kwa "che Malon" beki anayesifika Kama Ukuta wa Yericko lakini kachoma kizembe sana.
Je kwa mwendo huu Simba sc itafika nchi ya Makombe na kuleta furaha kwa wanasimba??
Malone anakuhusu nn wew changudoa?Electrical fance (Ukuta wa Yericko) umetobolewa kirahisi sana.
Goli mbili za faster kutoka kwa "Mathew" moja likitokea kwa Mohammed Husen na lingine likitoka kwa "che Malon" beki anayesifika Kama Ukuta wa Yericko lakini kachoma kizembe sana.
Je kwa mwendo huu Simba sc itafika nchi ya Makombe na kuleta furaha kwa wanasimba??
Wakikujibu nitag, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kutobolewa kwa mdaka mishale kulileta tafsiri gani?
Akikujibu ni tagKwani kutobolewa kwa mdaka mishale kulileta tafsiri gani?