Mathias houseboy anayeongoza kwa maisha bora Tanzania

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Houseboy wa Mhamasishaji, mchekeshaji, mwandishi wa habari na msomi mashuhuri nchini DC Mwijaku anayeitwa Mathias ndiye Houseboy pekee anayeongoza kwa maisha bora Tanzania.

Kajengewa kabisa kaghorofa severnt quarter pembeni ya jumba la 1.3 billion.

Anaishi utadhani siyo houseboy.

Wengi wanamsifia licha ya maisha mazuri aliyo nayo hana shobo za kindezi kujionesha onesha hata boss wake mwijaku akimpiga video. Anaficha sura.

Pia ni mwaminifu hata mwijaku akisafiri mwezi mzima na kumuacha na familia yake yani jamaa kama Joseph wa kwenye Biblia.

Mathias the richest houseboy in Tanzania.

20240812_213042.jpg
 
View attachment 3068139
Lajenhewa kaghorofa la servant quarter..makajua ya kwake amejengewa kwenye kiwanja chake
 
Atumie Hilo jina la houseboy vzr linaweza kumwingizia pesa Zaid akiwa na mwijaku aache kuficha ficha sura mtt wa kiumee..
Anaweza anzisha hata Kutafuta maboc wenye uhitaji wa ma houseboy kupitia mwijaku ,naye akatafuta vijana wenye uhitaji wa kazi akawaonganisha akapata mkwanja ..

N wazo tu
 
Back
Top Bottom