Mathias houseboy anayeongoza kwa maisha bora Tanzania

Mathias houseboy anayeongoza kwa maisha bora Tanzania

Hollaaaaa expensive life ,DC ajiandae kumlipa Kipanya.
Kiing umeona freemasons wamemnyofoa chiefgodlove kidole cha mguuni wa kulia? Yani unapotezea kiungo kisa utajiri wa madafu hata haizidi million 50.

FB_IMG_1723533264473.jpg
 
Kiing umeona freemasons wamemnyofoa chiefgodlove kidole cha mguuni wa kulia? Yani unapotezea kiungo kisa utajiri wa madafu hata haizidi million 50.

View attachment 3068446
Ogopa sana matajiri wa Kusini na nyanda za juu kusini ,ni hatari hao watu....Wengi hawana vidole ,utajiri wa funza(kuoza) ,utajiri wa ngende.
 
Back
Top Bottom