Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Watu wanatokwa na Mipovu hapa Tz ikizuia Silvya Mulinge ilihali Kenya inawafukuza wafanyikazi wa kutoka nchi zingine..Kwani lengo la huyu dada lilikuwa gani eti lazima apate kazi Tz?
Rais Mzima anasema kwa kinywa chake kwamba anafungulia watu wote wa afrika mipaka ya kenya tena anaanza kuwafukuza. Hii ni kuwa Mwehu 😀
MY TAKE
Tanzanian goverenter learn a thing from here
Hata mimi ninashangaa, with all those insecurity, tribalism, police killings, corruption, poor transportation, ajali za barabarani, water and food scarcity..ukiongezea na roho mbaya za wakenya.Hivi kuna mtu mwenye Akili timamu anaweza kwenda kufanya kazi Kenya ?
Hahaha JPM is making people go wild
Uhuru granted free movement and free working permits for all Africans now what went wrong over the sudden he does not want to see them around on their working places.? Where shall they eat? 😀😀😀😀😀😀😱View attachment 768982 View attachment 768983
Matiangi warned illegal workers, he didn't deny a working permit to somebody who deserves one. Stupid.Hao ndiyo wakenya walivyo, ni watu wabinafsi sana, wao wakifanya wanaona ni sawa, ila wakifanya wengine kwao ni kosa na wanasema wakenya ndiyo wanaolengwa, mifano ni mingi sana, Tanzania ilipokataa mpango wa EPA, walisema Tanzania ina lengo la kuikomoa Kenya, ila Kenya ilipojitoa katika mpango wa kuzuia nguo za mitumba kutoka USA baada ya kutishwa na Marekani, walisema kwasababu Kenya inalinda soko lake. Hawa kiboko yao ni uncle Magu tu, na anawanyorosha vizuri sana
Pumbavu wewe, humsikii hapo akisema kwamba haiwezikani wageni kuja kufanya kazi zinazowezwa kufanywa na wakenya?, na ametaja baadhi ya kazi kama vile accountants?, ninyi wakenya mna roho mbaya sana, kila kitu mnataka mpate ninyi tu, vya wenzenu mnataka, ila vyenu nimkwa ajili yenu tu.Matiangi warned illegal workers, he didn't deny a working permit to somebody who deserves one. Stupid.
Mishahara ndio tofauti...Hivi kuna mtu mwenye Akili timamu anaweza kwenda kufanya kazi Kenya ?
Those procedurally hired in Kenya and with valid work/residence permits need not worry. Target is this non-value adding lots out to strain social amenities,harbouring criminal intents and generally those in positions Kenyans can competently take up!
Mulinge is of more value to Vodacom Tz than what these Tz fellows can imagine!
Silvya Mulinge has no special technical skill she is actually a foodscience graduate. Management experience is not a skill, success of safcom is not due to her nor can it be attributed to her. Infact safcom is not succeful due to Michael Joseph alone its a mix of many things. There many Tanzanians running huge companies and In Ministries that handle Billions of dollars, there is no talent that she brings on board that does not exist.Visa on arrival is not a green light to illegally work or overstay your visit! You're better suited to know this,fake kikuyu!
Kwa hivo dada aliyenyimwa work permit Tz ni accountant? Malenge hii.Pumbavu wewe, humsikii hapo akisema kwamba haiwezikani wageni kuja kufanya kazi zinazowezwa kufanywa na wakenya?, na ametaja baadhi ya kazi kama vile accountants?, ninyi wakenya mna roho mbaya sana, kila kitu mnataka mpate ninyi tu, vya wenzenu mnataka, ila vyenu nimkwa ajili yenu tu.
Kwahiyo kama Kenya hawataki accountants na Tanzania pia wakatae accountants, Tanzania ufuate vile Kenya inavyofanya?, stupid.Kwa hivo dada aliyenyimwa work permit Tz ni accountant? Malenge hii.
Tanzania kawaida hamna CEOs ndio maana tunawapea.Kwahiyo kama Kenya hawataki accountants na Tanzania pia wakatae accountants, Tanzania ufuate vile Kenya inavyofanya?, stupid.
Silvya Mulinge has no special technical skill she is actually a foodscience graduate. Management experience is not a skill, success of safcom is not due to her nor can it be attributed to her. Infact safcom is not succeful due to Michael Joseph alone its a mix of many things. There many Tanzanians running huge companies and In Ministries that handle Billions of dollars, there is no talent that she brings on board that does not exist.
Matiangi was clear, for technical workers like teachers and accountants validly working in kenya, their employers will be compelled to sack them and employ kenyans otherwise, no work visa for them
Hivi kuna mtu mwenye Akili timamu anaweza kwenda kufanya kazi Kenya ?
😀😀Hebu uliza Mkikuyu- Akili timamu. Yeye ndio roaming ambassador wenu.
She is Not special, Managerial skill is not technical skill..Managerial experience is so common everywhere even in Burundi and iraqShe might have studied food science yes but more often than not first degrees do not define ones profession or career path! If anything, they are just to empower one to explore potential strengths and then advance in a path you have a passion in. With disruptive technology like in the telcos,they're more inclined to harness potential brains that can match the trends and adept enough to stay the course . Ms Mulinge has earned her stripes in Safcom hence the confidence from her peers to steer Vodacom to greater heights!
For once give the sister her due recognition!
She is Not special, Managerial skill is not technical skill..Managerial experience is so common everywhere even in Burundi and iraq