Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
ni ramli ya kizungu au ni nini?
sometimes nikiwa katika kipindi cha ovulation kiuno/nyonga huwa inaniuma sio sana lakini.especial kama ni ovary ya upande wa kushoto
sasa juzi ikanitokea
nikamueleza best yangu sasa tukiwa njiani tukaona clinic ya wanawake na uzazi nikamwambia tucheki maeneo yetu kama yapo vizuri siku hizi magonjwa mengi
basi tukaenda pale,kumuona dokta na kupima 50
wakasema kupima ni kwa computer basi tukalazwa kitandani pale tukavuliwa vichupi vyetu vikatupwa nje huko
tukashikishwa mouce ya kompyuta dkk mbili tatu tukaambiwa tayari tufate majibu kesho yake eti system ina load matatizo yetu
kesho yake hao tukaenda
maweeeeeeeee mimi nikaambiwa eti nina cyst ndogooo ndo inaanza kujitokeza matibabu laki mbili,nikawaambia mi nina insurance nitaenda kununua dawa sehemu ingine wakasema kama ni hivo sitapona
ila niliogopa kweli nikaendfa kwa dokta mwingine akaniambia sina chochote akanieleza na sababu za kuumwa kwangu
shoga yangu nae kidogo afe pressure maana aliambiwa mlango wa kizazi upo wazi so unatakiwa ufungwe yaani ngoja narudi...