Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
acha iwe mbaya bwana
ntaanza kusambaza hzo picha. Ohoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha iwe mbaya bwana
yaani unalazwa bed hapo unashika mouse mkononi basi wao wanadai mwili unasomeka huko kwa kompyuta zao . Yaani acha tu kwa bibi kunakuwa tu uchi mwilini hakiutakiwi kuwa na kitu chochote hata kama umevaa shanga au mkufu kiunoni au shingoni unavuliwa ,kipimo ni nyama kwa nyama mamiismile umeniacha hoi! Hayo matibabu yanaleta maswali mengi sana. Sasa hapo kwa bibi mliwekewa nini? Au ni kuondoa kufuli tu na kushika mouse ndio kipimo kinafanyika? Najaribu kulinganisha na kipimo cha ultrasound wakati wa ujauzito lkn akili hainipi.
OHOOO UKUTE YULE KAKA MPIMAJI NI Kimbweka JAMANI JAMANI?Hahaha! Pole. Baadhi ya picha ni zile anazo wekaga SILENT WHISPER Kwa hiyo leo jioni uanze kutembelea kile jukwaa la milango ya chuma mpaka upewe ufunguo na invizibo. Bahati nzuri hawaruhusiwi kupiga picha sura za watu. Ni maeneo husika tu ndo yanapigwa.
wajinga ndio tuliwao eeehvipi wewe bwana mangushi, naonaumechanganyikiwa....
Yaliyonikuutaaa mwenzangu, ni mamboo makubwaaaa
hata duka umelifungae hatuelewi sababu
yaliyonikuutaaa mwenzangu, nitaaakuelezaaa
natamani kunywa sumu au hata kujingonga ee bwaanaaeee.....
Nimechukuuliwa pesa zangu, milionii mbili..........
sambaza tu bana , kwanza nauzika balaa ,wewe mwenyewe shahidi
yaani unalazwa bed hapo unashika mouse mkononi basi wao wanadai mwili unasomeka huko kwa kompyuta zao . Yaani acha tu kwa bibi kunakuwa tu uchi mwilini hakiutakiwi kuwa na kitu chochote hata kama umevaa shanga au mkufu kiunoni au shingoni unavuliwa ,kipimo ni nyama kwa nyama mamii
hivi wanauza picha eeh maweee!!!!
yaani unalazwa bed hapo unashika mouse mkononi basi wao wanadai mwili unasomeka huko kwa kompyuta zao . Yaani acha tu kwa bibi kunakuwa tu uchi mwilini hakiutakiwi kuwa na kitu chochote hata kama umevaa shanga au mkufu kiunoni au shingoni unavuliwa ,kipimo ni nyama kwa nyama mamii
kafaidi nini bwana acheni kunizingua na ninyi hapajamani mjini shule sasa unaambiwa uvue kufuli na ww unavua ukibakwa unalia kumbe umeyataka mwnyewe jamaa kajifahidia sana mpk namwonea wivu ck ingne anakupulizia nusukaput ungefurai na roho yko
kumbe ndo unajkopata picha pale clinic tapeli yenu sio?
nirudishie 50 yangu bana