matibabu kwa njia ya kompyuta

matibabu kwa njia ya kompyuta

smile umeniacha hoi! Hayo matibabu yanaleta maswali mengi sana. Sasa hapo kwa bibi mliwekewa nini? Au ni kuondoa kufuli tu na kushika mouse ndio kipimo kinafanyika? Najaribu kulinganisha na kipimo cha ultrasound wakati wa ujauzito lkn akili hainipi.
yaani unalazwa bed hapo unashika mouse mkononi basi wao wanadai mwili unasomeka huko kwa kompyuta zao . Yaani acha tu kwa bibi kunakuwa tu uchi mwilini hakiutakiwi kuwa na kitu chochote hata kama umevaa shanga au mkufu kiunoni au shingoni unavuliwa ,kipimo ni nyama kwa nyama mamii
 
Hahaha! Pole. Baadhi ya picha ni zile anazo wekaga SILENT WHISPER Kwa hiyo leo jioni uanze kutembelea kile jukwaa la milango ya chuma mpaka upewe ufunguo na invizibo. Bahati nzuri hawaruhusiwi kupiga picha sura za watu. Ni maeneo husika tu ndo yanapigwa.
OHOOO UKUTE YULE KAKA MPIMAJI NI Kimbweka JAMANI JAMANI?
 
Last edited by a moderator:
vipi wewe bwana mangushi, naonaumechanganyikiwa....
Yaliyonikuutaaa mwenzangu, ni mamboo makubwaaaa
hata duka umelifungae hatuelewi sababu

yaliyonikuutaaa mwenzangu, nitaaakuelezaaa

natamani kunywa sumu au hata kujingonga ee bwaanaaeee.....
Nimechukuuliwa pesa zangu, milionii mbili..........
wajinga ndio tuliwao eeeh
 
yaani unalazwa bed hapo unashika mouse mkononi basi wao wanadai mwili unasomeka huko kwa kompyuta zao . Yaani acha tu kwa bibi kunakuwa tu uchi mwilini hakiutakiwi kuwa na kitu chochote hata kama umevaa shanga au mkufu kiunoni au shingoni unavuliwa ,kipimo ni nyama kwa nyama mamii

Duh! Hao watakuwa wanatafuta picha za shape mbalimbali za wadada! Hicho kipimo kigumu! Lol!
 
yaani unalazwa bed hapo unashika mouse mkononi basi wao wanadai mwili unasomeka huko kwa kompyuta zao . Yaani acha tu kwa bibi kunakuwa tu uchi mwilini hakiutakiwi kuwa na kitu chochote hata kama umevaa shanga au mkufu kiunoni au shingoni unavuliwa ,kipimo ni nyama kwa nyama mamii

Huu ni ufreemasons.
 
jamani mjini shule sasa unaambiwa uvue kufuli na ww unavua ukibakwa unalia kumbe umeyataka mwnyewe jamaa kajifahidia sana mpk namwonea wivu ck ingne anakupulizia nusukaput ungefurai na roho yko
 
OHOOO UKUTE YULE KAKA MPIMAJI NI Kimbweka JAMANI JAMANI?

eeeeh Smile usiogope ntakupima vizuuuuuriiiii................................!:A S-heart-2:
Na utaondoka ukitabasamu....................!:biggrin:
 
jamani mjini shule sasa unaambiwa uvue kufuli na ww unavua ukibakwa unalia kumbe umeyataka mwnyewe jamaa kajifahidia sana mpk namwonea wivu ck ingne anakupulizia nusukaput ungefurai na roho yko
kafaidi nini bwana acheni kunizingua na ninyi hapa
 
eeeeh Smile usiogope ntakupima vizuuuuuriiiii................................!:A S-heart-2:
Na utaondoka ukitabasamu....................!:biggrin:
kumbe ndo unajkopata picha pale clinic tapeli yenu sio?
nirudishie 50 yangu bana
 
Njoo nikupime tena nakurudishia mara 2 ya hiyo............................!:biggrin::wink:
 
kwahiyo mlango wa rafikiyako ataufunga nani? Atafaidije i wish i could be!
 
Duh kwa hiyo mkono kwenye mouse....kitumbua nje...chupi kando.....kuna connection gani hapo???.....afu sehemu yenyewe buguruni..kha!
 
Back
Top Bottom