Wajumbe naomba ushauri wa tatizo la fangasi kwenye njia ya mkojo kwa mwanaume.zinanisumbua two years.nmetumia midawa mingi sana.shida iko kwenye uume ndani
Kuna mafuta ya Oregano(Zaatari) nunua hayo yawe pure(safi/halisi) weka matonye manne kwenye glasi ya maji(changanya na maji glasi moja) wiki utakuwa powaaaa.