classic1988
Member
- May 26, 2023
- 21
- 15
Wajumbe naomba ushauri wa tatizo la fangasi kwenye njia ya mkojo kwa mwanaume.zinanisumbua two years.nmetumia midawa mingi sana.shida iko kwenye uume ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayapataje kakaKuna mafuta ya Oregano(Zaatari) nunua hayo yawe pure(safi/halisi) weka matonye manne kwenye glasi ya maji(changanya na maji glasi moja) wiki utakuwa powaaaa.