Matibabu ya kuvimba miguu

Matibabu ya kuvimba miguu

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
652
Habari wadau,naomba ushauri wenu nina ndugu yangu anasumbuluwa na kuvimba miguu kuanzia kwenye macho ya miguu kushuka chini inakuwa kama matende vile,tumepima vipimo vyote majibu hayana ugonjwa na wala haileti maumivu yoyote ingawa kuna kipindi ilitokea majipu juu ya mguu mmoja.

naleta kwa ushauri wenu!!
 
Anasumbuliwa na kuvimba miguu kuanzia kwenye macho ya miguu kushuka chini

vipimo vyote majibu hayana magonjwa na wala haileti maumivu ingawa kuna kipindi ilitokea majibu juu ya mguu mmoja

Je ndugu yako kwa sasa anasumbuliwa na ugonjwa gani?
 
Labda ungetafuta daktari mwingine upate ushauri wa ziada. Miguu inavimba kwa sababu inawekeza maji. Na hiyo ni ishara kuwa kuna system haifanyi kazi sawa sawa. Yaweza kuwa moyo, ama figo.
 
Labda ungetafuta daktari mwingine upate ushauri wa ziada. Miguu inavimba kwa sababu inawekeza maji. Na hiyo ni ishara kuwa kuna system haifanyi kazi sawa sawa. Yaweza kuwa moyo, ama figo.

Amepima figo na moyo hana tatizo katika hilo
 
  • Nitajie uzito na urefu wake
  • Nitajie jinsia yake
  • Muda mwingi anakuwa amekaa au amesimama?
 
Back
Top Bottom