cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Habari wadau,naomba ushauri wenu nina ndugu yangu anasumbuluwa na kuvimba miguu kuanzia kwenye macho ya miguu kushuka chini inakuwa kama matende vile,tumepima vipimo vyote majibu hayana ugonjwa na wala haileti maumivu yoyote ingawa kuna kipindi ilitokea majipu juu ya mguu mmoja.
naleta kwa ushauri wenu!!
naleta kwa ushauri wenu!!