Habari wadau,naomba ushauri wenu nina ndugu yangu anasumbuluwa na kuvimba miguu kuanzia kwenye macho ya miguu kushuka chini inakuwa kama matende vile,tumepima vipimo vyote majibu hayana ugonjwa na wala haileti maumivu yoyote ingawa kuna kipindi ilitokea majipu juu ya mguu mmoja.
Labda ungetafuta daktari mwingine upate ushauri wa ziada. Miguu inavimba kwa sababu inawekeza maji. Na hiyo ni ishara kuwa kuna system haifanyi kazi sawa sawa. Yaweza kuwa moyo, ama figo.
Labda ungetafuta daktari mwingine upate ushauri wa ziada. Miguu inavimba kwa sababu inawekeza maji. Na hiyo ni ishara kuwa kuna system haifanyi kazi sawa sawa. Yaweza kuwa moyo, ama figo.