MatiKibokoYao: Wema rudisha pesa za nguo unazodaiwa na Manyota

Status
Not open for further replies.

Unaonekana una roho ya huruma sana dada yangu,by the way nimependa hilo jina lako "hulda" ni pm namba yako tafadhali.....
 
usinivunje mbavu binamu, mtoto yupi tena? uwiii labda wa makaratas
Si unakumbuka tuliambiwa kuna kampuni tatu zimeanza mawasiliano binamu,inawezekana na advance wema alivuta
 
Si unakumbuka tuliambiwa kuna kampuni tatu zimeanza mawasiliano binamu,inawezekana na advance wema alivuta
Jamani , usikute ndo alikua anayataka hayo , madai na yeye kama mtoto wa diamond tiffah, matokeo yake mimba fake imetoka
 
Jamani , usikute ndo alikua anayataka hayo , madai na yeye kama mtoto wa diamond tiffah, matokeo yake mimba fake imetoka
Hahaaa,mpiga picha kachanganyikiwa baada ya kugundua kauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Marekani tu yenyewe INA uchumi mkubwa duniani na inakopa sembuse individual
wamarekani wanakopa wana invest kwenye mambo makubwa, hyo boss wenu wenu anakopa nguo afanyie show off instagram, akalipe pesa za watu mxieee
 
msifananishe uchumi wa marekani na upuuzi wenu tafadhali
Kukopa ni jambo LA kawaida tu binamu haijalishi level ya MTU ndo mana wafanyabiashara wakubwa ndo wakopaji mkwamo humtokea yoyote tu
 
Kukopa ni jambo LA kawaida tu binamu haijalishi level ya MTU ndo mana wafanyabiashara wakubwa ndo wakopaji mkwamo humtokea yoyote tu
Bora ukope ufanye mambo ya maana, kama jide alikopa akanunua nyumba, sasa shoga yenu anakopa nguo?? kweli jaman? tuacheni ushabiki mavi, kwa level zake sio mtu wa kukopa nguo, bora ata angekopa kiwanja au garu tungemuona wa maana, sasa kama yeye anakopa nguo na watoto wa uswazi wakope nini jamani?
 
Watu wanatofautiana interests zao na priorities kwenye life jidee yeye ana think extra miles ila mwenzetu hajali hyo only kukopa viwalo vya show off insta ndo ya muhimu by hasa k wa hawa mastar wa kibongo wasio na akili ya kujiongezea kipato
 
Hivi kuna logic gani ya Watu kugombana halafu kupost insta? Yaaani ugomvi Bila insta haujakamilika? Kwani mwenye insta aliianzisha kwa dhumuni gani? Ukishampost mtu Abu kumchafua mtu insta wewe unanufaikaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…