Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Matty nae ana siri gani atakayomsema Wema hadi watu tushtuke tuseme kuwa kaaibika?? Pheeeeeeww
Hakuna ambacho Wema hajawahi kusemwa nacho.....ufuska, ushirikina na matusi kibao keshayaoga binti wa watu, hata sura yake, ngozi na umbo lake vishazodolewa mpaka basi, na upunda pia ashaambiwa........now chepi kipya???!!! Arrgh
Alafu hivi Matty ndo msemaji wa manyota au kumjua kwake Wema ndo ishakuwa nongwa....hovyooo!! Ebu na angesema basi tuone ka Wema angegeuka jinsia! Watu wanadaiwa na makampuni seuze Wema???!!!!! Aaayiiii!
Mkuu hivi zile kampuni tatu zilizotaka kumdhamini mtoto wa wema uliwahi kuzifahamu?wema umbwa wewe
Si unakumbuka tuliambiwa kuna kampuni tatu zimeanza mawasiliano binamu,inawezekana na advance wema alivutausinivunje mbavu binamu, mtoto yupi tena? uwiii labda wa makaratas
Hahaaa,mpiga picha kachanganyikiwa baada ya kugundua kauziwa mbuzi kwenye guniaJamani , usikute ndo alikua anayataka hayo , madai na yeye kama mtoto wa diamond tiffah, matokeo yake mimba fake imetoka
Marekani tu yenyewe INA uchumi mkubwa duniani na inakopa sembuse individualWema si wa kwanza kukopa..... Muacheni mtoto wa watu.
Kukopa ni jambo LA kawaida tu binamu haijalishi level ya MTU ndo mana wafanyabiashara wakubwa ndo wakopaji mkwamo humtokea yoyote tumsifananishe uchumi wa marekani na upuuzi wenu tafadhali
Bora ukope ufanye mambo ya maana, kama jide alikopa akanunua nyumba, sasa shoga yenu anakopa nguo?? kweli jaman? tuacheni ushabiki mavi, kwa level zake sio mtu wa kukopa nguo, bora ata angekopa kiwanja au garu tungemuona wa maana, sasa kama yeye anakopa nguo na watoto wa uswazi wakope nini jamani?Kukopa ni jambo LA kawaida tu binamu haijalishi level ya MTU ndo mana wafanyabiashara wakubwa ndo wakopaji mkwamo humtokea yoyote tu
Watu wanatofautiana interests zao na priorities kwenye life jidee yeye ana think extra miles ila mwenzetu hajali hyo only kukopa viwalo vya show off insta ndo ya muhimu by hasa k wa hawa mastar wa kibongo wasio na akili ya kujiongezea kipatoBora ukope ufanye mambo ya maana, kama jide alikopa akanunua nyumba, sasa shoga yenu anakopa nguo?? kweli jaman? tuacheni ushabiki mavi, kwa level zake sio mtu wa kukopa nguo, bora ata angekopa kiwanja au garu tungemuona wa maana, sasa kama yeye anakopa nguo na watoto wa uswazi wakope nini jamani?
Marekani tu yenyewe INA uchumi mkubwa duniani na inakopa sembuse individual