JOSEPH MATARE
New Member
- Jul 20, 2013
- 3
- 0
Karibu sana kamanda.Nimefurahi sana tulipoongea kwenye simu.Mimi ndiye JOSEPH MATIKO MATARE ambaye makomredi wa UDSM enzi hizo mnamtafuta.Pole sana makomredi kwa kunipoteza kwa muda mrefu nilikuwa ninajiimarisha sasa ninarudi kushirikiana na wanaukombozi wenzangu kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa THE VULTURES OF THE VULNERABLES.
Kudos comred Ben!Karibu sana kamanda.Nimefurahi sana tulipoongea kwenye simu.
Mods tafadhali tunaomba mumfanyie verification huyu kamanda
CC: Invisible , Maxence Melo PainKiller
huna haja ya kuja kwa majigambo... simba mwenda pole ndio mla nyama
Punguza makeke fanya kazi
Kudos comred Ben!
sijapitiwa mdogo wangu, napenda kukaribisha wapiganaji, ila sipendi majigambo wakati hata jezi haijalowa jashoTIMING,
Mkuu leo umepitiwa kidogo maana si utamaduni wetu wakongwe wa JF kukaribisha watu kihivyo.Tumkaribishe kamanda ambaye watu walimzushia kifo na mambo mengine
sijapitiwa mdogo wangu, napenda kukaribisha wapiganaji, ila sipendi majigambo wakati hata jezi haijalowa jasho
acha watu wam-judge baada ya kipenga, i think we should have a humble beginning, because it gives a chance for improvement
nilimuaminia enzi zile na namuaminia sasa, ila hana haja ya makeke... kwani wewe, Mnyika, Lema, Regia (RIP), etc mlikuja kwa makeke humu JF??
Mimi ndiye JOSEPH MATIKO MATARE ambaye makomredi wa UDSM enzi hizo mnamtafuta.Pole sana makomredi kwa kunipoteza kwa muda mrefu nilikuwa ninajiimarisha sasa ninarudi kushirikiana na wanaukombozi wenzangu kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa THE VULTURES OF THE VULNERABLES.