Matiko matare ni mwamba usiotikisika(unshakable rock)

JOSEPH MATARE

New Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Mimi ndiye JOSEPH MATIKO MATARE ambaye makomredi wa UDSM enzi hizo mnamtafuta.Pole sana makomredi kwa kunipoteza kwa muda mrefu nilikuwa ninajiimarisha sasa ninarudi kushirikiana na wanaukombozi wenzangu kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa THE VULTURES OF THE VULNERABLES.
 
Karibu sana kamanda.Nimefurahi sana tulipoongea kwenye simu.

Mods tafadhali tunaomba mumfanyie verification huyu kamanda

CC: Invisible , Maxence Melo PainKiller
 
Last edited by a moderator:
huna haja ya kuja kwa majigambo... simba mwenda pole ndio mla nyama

Punguza makeke fanya kazi

TIMING,

Mkuu leo umepitiwa kidogo maana si utamaduni wetu wakongwe wa JF kukaribisha watu kihivyo.Tumkaribishe kamanda ambaye watu walimzushia kifo na mambo mengine
 
Last edited by a moderator:
TIMING,

Mkuu leo umepitiwa kidogo maana si utamaduni wetu wakongwe wa JF kukaribisha watu kihivyo.Tumkaribishe kamanda ambaye watu walimzushia kifo na mambo mengine
sijapitiwa mdogo wangu, napenda kukaribisha wapiganaji, ila sipendi majigambo wakati hata jezi haijalowa jasho

acha watu wam-judge baada ya kipenga, i think we should have a humble beginning, because it gives a chance for improvement

nilimuaminia enzi zile na namuaminia sasa, ila hana haja ya makeke... kwani wewe, Mnyika, Lema, Regia (RIP), etc mlikuja kwa makeke humu JF??
 
Well Noted Brother........!
 
Kama wewe ndiye JOSEPH MATARE Matiko halisi basi tunakukaribisha sana Comred. Tunategemea mchango wako wenye manufaa kwa taifa hili.
 
Last edited by a moderator:
Kamanda Joseph Matare simfahamu, ila kuna thread jana hapa JF ikimhusu.Inaonekana ni mpambanaji kufikia ukombozi wa uhuru wa kweli.Kamanda Matare umoja,uwajibikaji wa pamoja,kujitoa jumla,nidhamu na udhabiti wa kweli ndo mafanikio ya malengo ya Makamanda.Huku mitaani watu wengi wa kawaida tunaitegemea CDM kututoa kwa hawa mamiani CCM.Tunaishi kwa matumaini naTumaini letu ni CHADEMA,hakuna utani kwenye hii vita.
 
Sio majigambo wala makeke hilo ndilo jina langu la mapambano-UNSHAKABLE ROCK! Pole sana kwa kutolijua jina hilo. Nashukuru kwa ushauri ila mimi si mwenda pole wakati adui anaenda haraka.
 
Nashukuru sana kamanda MATARE kwn wanajamvi wameniuliza sana kupitia thread yangu niliyopost, wakataka nitupie picha yako hivyo toka juzi nakutafta hapa songea ili ili unipe ruhusa hiyo. Bt nafurahi kwa kuwa umeweka thread ya uthibitisho huu ww mwenyewe. Naomba unitafte kwa no. Hii 0786541072
 
Mimi ndiye JOSEPH MATIKO MATARE ambaye makomredi wa UDSM enzi hizo mnamtafuta.Pole sana makomredi kwa kunipoteza kwa muda mrefu nilikuwa ninajiimarisha sasa ninarudi kushirikiana na wanaukombozi wenzangu kuikomboa nchi kutoka mikononi mwa THE VULTURES OF THE VULNERABLES.

nimefurahi sana kwa kujitokeza humu jamvini, lakini zaidi nimefurahi sana kwani bila shaka maswali ya thread yangu niliyopost kukuhusu uwepo wako utayajibu directly.
 
Back
Top Bottom