JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Niliuliza kuanzia mwanzo kwa nini siyo Religious studies? SikujibiwaNchi hii ina dini mbili tu?, je wenzetu wa Rastafarian, Shinto, buddha, Tao, Pagan et al nao wanapata wapi maarifa na elimu yao kama ilivyo kwa wengine?
Nadhani lengo na mipango ni ile ile ya kuifanya Tanganyika kuwa nchi ya ...
Aendaeni miongozo ya dini yenu mpeleke kwenye mamlaka husika.Kwa nini dini mbili tu? Sie rastafarians na wenzetu wa imani ya jadi watafundishiwa wapi?
sisi WATANZANIA HATUNA JEMA KABISA! Watu wengi tumekuwa tukiomba tahasusi za dini ziingie kwenye mtaala wa elimu zimewekwa tena kelele zimeanza kweli hatuna JEMA!Hayo maarifa ni upuuzi mtupu na hayana tija kwa taifa linalotaka kukimbia kimaendeleo.
Matumizi mabaya ya hela ya mlipa Kodi. Uendeshaji wa nchi lazima uwe na usawa ukizingatia pia minority. Nyie lini mliandaa huo mwongozo unaotaka siye tuandae?Aendaeni miongozo ya dini yenu mpeleke kwenye mamlaka husika.
Mitaala ya masomo ya dini huwa inaandaliwa na kuwa ku submitted kwa mamlaka husika na wadau wa dini husika.Matumizi mabaya ya hela ya mlipa Kodi. Uendeshaji wa nchi lazima uwe na usawa ukizingatia pia minority. Nyie lini mliandaa huo mwongozo unaotaka siye tuandae?
mambo ya dini tutafundishana tunakoabudu na kuamini kuna Mungu huko. Kuingiza islamic na divinity ni upuuzi mtupu usiokubalika. Nijue hayo maarifa ili nivumbue nini?sisi WATANZANIA HATUNA JEMA KABISA! Watu wengi tumekuwa tukiomba tahasusi za dini ziingie kwenye mtaala wa elimu zimewekwa tena kelele zimeanza kweli hatuna JEMA!
Wewe unaona sawa resources za nchi kutumika kueneza ajenda za dini?Mitaala ya masomo ya dini huwa inaandaliwa na kuwa ku submitted kwa mamlaka husika na wadau wa dini husika.
Mmeomba na nani?sisi WATANZANIA HATUNA JEMA KABISA! Watu wengi tumekuwa tukiomba tahasusi za dini ziingie kwenye mtaala wa elimu zimewekwa tena kelele zimeanza kweli hatuna JEMA!