Matiti kutokwa na majimaji n sumtymz kunakua na kama some sort ov maziwa hajawahi toa mimba wala hanajawhi nyonyesh amekua na tatizo hili kwa mda mrefu cnc 2008 mpaka sasa bado,amejaribu kuwaona Dokta tofauti na kutumia dawa pia alizo pewa but hazija msaidia Dokta alisema ni homons je hakuna njia nyingine yakumsaidia kukausha maji maji hayo