Matiti kutokwa na maji maji

Matiti kutokwa na maji maji

Nevu hamis

Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Matiti kutokwa na majimaji na wakati mwingine kunakua na kama kuna maziwa hajawahi toa mimba wala hajawahi nyonyesha amekua na tatizo hili kwa mda mrefu tangu 2008 mpaka sasa bado,amejaribu kuwaona Dokta tofauti na kutumia dawa pia alizo pewa but hazija msaidia Dokta alisema ni homons je hakuna njia nyingine yakumsaidia kukausha maji maji hayo?
 
Matiti kutokwa na majimaji n sumtymz kunakua na kama some sort ov maziwa hajawahi toa mimba wala hanajawhi nyonyesh amekua na tatizo hili kwa mda mrefu cnc 2008 mpaka sasa bado,amejaribu kuwaona Dokta tofauti na kutumia dawa pia alizo pewa but hazija msaidia Dokta alisema ni homons je hakuna njia nyingine yakumsaidia kukausha maji maji hayo

mkuu hizo ni hormones tu asiwe na wasiwasi...

akitafuta dawa za kushusha hizo hormones hutakawia kuja humu na matatizo mengine, mfano hatopata hedhi kama kawaida..

mwambie a relax hakuna effects za kutokatoka hivyo maziwa...
 
Ok! asante pia zina weza zikawa kwa kipindi chote hicho coz ni abt 7yrs.
 
Back
Top Bottom