Matiti kuuma

Matiti kuuma

Wakat wa bleed kwenu nyie wanawake ni kawaida sana kuambatana na maumivu. Ni wachache sana wanapitisha bila maumivu.
 
Wakat wa bleed kwenu nyie wanawake ni kawaida sana kuambatana na maumivu. Ni wachache sana wanapitisha bila maumivu.
Kuna wengine yaani wanaumwa kabisa. Mungu Alicheza Pelle kuniumba mwanaume aisee. Nikifikiriaga hii kitu + mimba 9 months na kutoa litoto kwenye katundu kale aisee basi. Siku nikifika mbinguni kitu cha kwanza ni kumshukuru Mungu kwa hili halafu mengine baadaye!
 
Back
Top Bottom