Muombe atupie kapicha[emoji85]Mhhhhh inatia hamu kuyaona live
Hapana mkuu ni mambo ya mpevuko tuSiyo kwamba ni nyegemshindo..![emoji7]
Kuna wengine yaani wanaumwa kabisa. Mungu Alicheza Pelle kuniumba mwanaume aisee. Nikifikiriaga hii kitu + mimba 9 months na kutoa litoto kwenye katundu kale aisee basi. Siku nikifika mbinguni kitu cha kwanza ni kumshukuru Mungu kwa hili halafu mengine baadaye!Wakat wa bleed kwenu nyie wanawake ni kawaida sana kuambatana na maumivu. Ni wachache sana wanapitisha bila maumivu.