Shabani issa
Member
- Oct 29, 2012
- 6
- 1
Dawa ya matiti kwa wanume yakamuwe tu yatondoka mimi nilivyokuwa nina balekhe nilikuwa nayo matiti nikayakamuwa yakapotele ambali yakamuwe kila siku yataondoka tu.Hi to everyone,jamani naomba kujuzwa sababu ya baadhi ya wanaume kuwa na matiti na namna ya kuyaondoa.
Una umri gani?je kuna dawa yoyote unatumia?Hi to everyone,jamani naomba kujuzwa sababu ya baadhi ya wanaume kuwa na matiti na namna ya kuyaondoa.
dawa ya matiti kwa wanume yakamuwe tu yatondoka mimi nilivyokuwa nina balekhe nilikuwa nayo matiti nikayakamuwa yakapotele ambali yakamuwe kila siku yataondoka tu.
Hakuna cha kazi ni kawaida mkuu wewe kama ni mwanamme hajawahi kukupata matiti kuwa nayo?kaazi kwelikweli
inategemea na umri kama yalikuanza utotoni basi hilo litakuwa ni tatizo la hormons hivyo itabidi ukubali matokeo au sometimes umri unavyozidi na uzalishwaji wa hizo hormons hupungua au kuisha kabisa,kingine ni haya mayai yetu tunayokula yanapatikana bila jogoo hayo ni hatari kwelikweli mpaka hips yanatoa kwa wanaume.
Dawa ya matiti kwa wanume yakamuwe tu yatondoka mimi nilivyokuwa nina balekhe nilikuwa nayo matiti nikayakamuwa yakapotele ambali yakamuwe kila siku yataondoka tu.