Matiti kwa wanaume

Matiti kwa wanaume

Shabani issa

Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Hi to everyone,jamani naomba kujuzwa sababu ya baadhi ya wanaume kuwa na matiti na namna ya kuyaondoa.
 
dawa ya matiti kwa wanume yakamuwe tu yatondoka mimi nilivyokuwa nina balekhe nilikuwa nayo matiti nikayakamuwa yakapotele ambali yakamuwe kila siku yataondoka tu.

mkuu ukosawa kabisa
mi niliambiwa kila siku bikamue kweli ikaisha kabisa kabisa ...na usishangae kuna mamaji yanatoka kwa juu baadae yanakatika kabisa
 
inategemea na umri kama yalikuanza utotoni basi hilo litakuwa ni tatizo la hormons hivyo itabidi ukubali matokeo au sometimes umri unavyozidi na uzalishwaji wa hizo hormons hupungua au kuisha kabisa,kingine ni haya mayai yetu tunayokula yanapatikana bila jogoo hayo ni hatari kwelikweli mpaka hips yanatoa kwa wanaume.
 
Mkuu angetaja umri ingesaidia na kutoa fursa kwa WanaJF kutoa ushauri kwa kuzingatia hali halisi. huenda ndio kwanza kijana anabelehe:A S 39:, hajaeleza hayo matiti yamejitokeza ghafla au vipi.
inategemea na umri kama yalikuanza utotoni basi hilo litakuwa ni tatizo la hormons hivyo itabidi ukubali matokeo au sometimes umri unavyozidi na uzalishwaji wa hizo hormons hupungua au kuisha kabisa,kingine ni haya mayai yetu tunayokula yanapatikana bila jogoo hayo ni hatari kwelikweli mpaka hips yanatoa kwa wanaume.
 
Dawa ya matiti kwa wanume yakamuwe tu yatondoka mimi nilivyokuwa nina balekhe nilikuwa nayo matiti nikayakamuwa yakapotele ambali yakamuwe kila siku yataondoka tu.

Mkuu, ukishafika 30+ huwezi tena kukamua; kuna aina tofauti za hayo matiti, kuna ya mafuta, kokwa za chuchu na ile tissue za maziwa

siku hizi ni kuyakata tu, au kupunguza uzito
 
kama ni yale ya barehe basi fanya hivi
1.chukua vijiti viwili vigumu(fimbo ikate katikati)
2.vua shati lako
3.liweke hilo titi katikati ya vijiti kisha bana kwa nguvu n.b utasikia maumivu lakini jikaze
kama huwezi fanya mwenyewe waweza kumwambia rafiki yako akusaidie
4.fanya hivyo mara nyingi hadi utapoona yametokomea
kama ni yale ya ukubwani basi usijisumbue kwani hiyo itakuwa ni asili ya mwili wako uliorithi kwa familia yako.
zaidi na zaidi jitahidi kupunguza urafi wa vyakula itakusaidia
 
Lakini maelezo zaidi ya nahitajika wadau tuchambue hili kwa kina ili tuondoe tatizo kwa watu.
 
Back
Top Bottom