Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
sio linkage hiii....u have been warnedHahahaha! Na Viti vitadai meza, vyupa vitadai glasi, glasi zitadai red label, red label itamdai Acid.............. Acid atamwamisha mtu meza!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio linkage hiii....u have been warnedHahahaha! Na Viti vitadai meza, vyupa vitadai glasi, glasi zitadai red label, red label itamdai Acid.............. Acid atamwamisha mtu meza!!!
nimeanza kupata wasiwasi aiseecousin angalia asprin anaweza kukuuliza wewe ni mali ya nani
Hapana....nilikuwa natoa jibu stahilifu kwa The Finest aliyetaka kuleta mambo ya unajimu hapa. SI unaona hata mwenye kanijibu kwa kicheko.....jibu langu lilikuwa spot on. Ni kweli kwenye hvyo vikao vya JJ na kwingineko watu vilevi vikishakolea wanaanza kuspeculate nani ana ID ngapi JF....
Au wewe unaweza kabisa kwa uhakika kujua nani ni nani humu?
mwambie huyokitendo cha kutuwekea masharti ya kuja baa mpya sipendi kabisa
Waridi uko wapi sasa mbona huulizi? Au Roya kakukataza? Mimi sing'ati bana.....
Got something against JJ?....
Ila hahihitaji uwezo wa ziada kujua muunganiko wa baadhi ya id humu jf....bila hata speculation...
sor i was out kdg bt m bak.....nilitaka kuulidha ivi ma alfa n omega et ...et mbona we mkali mkali afu sa ingne watumia luga nyeusi...ivo tu ..
Nimeitundika usalule nasubiri tean 2015...Kimey hivi ile FRAME ulienda nayo usalule au ulimuachia Generation-y
dah asante sana nimechekla mpk baskumekucha na makucha yake
lakini nyie cousinz sasa mmezidi
yani mtu anauliza matiti mali ya nani?? hivi tukianza hivyo kweli, si choo kitadai tIGO, ushuzi utadai pua, umbeya utadai sikio... mawigi yatadai
kha... mie nilijua alichokupa mungu chako, kumbe vina wenyewe.. ngoja nijisachi
Nimeitundika usalule nasubiri tean 2015...
aaaah bebiiii rozi na wewe una mapozi sana.....mi ni cool dude but i'm too cold to hold and too hot to handle.....
Lakini bado ni guesswork na speculation tu. Ona bacha alivyoandamwa kipindi fulani.....
mwambie huyo
mwisho atakuambia kuangalia barmaid mwisho mara mbili
Ili mradi usimwombe matiti. Utakula ban!
sawa lakin mimi sielew kingereza ungeandika kiswahili jaman mfalme wangu
lakn sa ingne kuwa na maneno km makali makali ivi minaona km si vyema iv ..au we waonaje?
hapo inategemea na n'tu na n'tu, baamedi na baamedi.
Wewe waweza kuniomba mimi chochote kile all day everyday.....nambie wataka nini weye binti Waridi alfu tisa mia na themanini?
Jinsia calling...you have been warned:target:I ain't saying speculations are that good....ila zipo...but they die naturally in the due time....
Am out bro!