Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
Hivi Maty yuko wapi amesababisha watu wakapigwa BAN
Niko namtafuta babu anibembeleze anifute machozi halfu kajificha sijui wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Maty yuko wapi amesababisha watu wakapigwa BAN
we bacha ebu toka uko
mwanaume gan wew nimekwambia nataka uyoga tu umeingia mitini ..nkikwambia uniletee nyama asi utaama nchio?
skutaki mie
tena utoke kabsa usinijazie nz apa
kamwanaume kabairi km kanafanya hazina..kila kitu ukiombwa kiko kwenye bajet,,mpka naninii nkitaka wanambia ipo kwenye bajet subir mwakan...yahuuu????stak mie ..sepa tena usepe mazma!!!!
stak bacha tena utoke kabisa...na ukienda kumwambia rr km naendelea uku utatambua...!!!!!!!
no uyoga no mkataba full stop.
hahaha hahaha hahah jamn rahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!Mali yangu,ilimradi yapo kwangu.ndo maana hata nikisafiri naenda nayo...
sijui ndo kibuti hiki?my God!!!!
Matiti ni mali yangu mwenyewe!!! Ninayaruhusu kutumiwa na mwingine (mtoto, mume) kulingana na mahitajio na mazingira. Full stop!!!!
Welcome back miss you so mach...Mali yangu,ilimradi yapo kwangu.ndo maana hata nikisafiri naenda nayo...
You have been warned!:banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease:
You have been warned!
You have been warned!
ulanz upo?
Welcome back miss you so mach...
hii kitu ikikosekana tunaandamana.... you are Welcomeulanz upo?
Senks.miss you too. Usalule wazima lakn? Umepona lakn kuchakachuliwa humu ndani.najua wewe ni mtoto mzuri.......
Usalule bombaa tunakamua Ulanzi....hahahaha Swaga za humu ndani siku izi ukicheza kidogo unachezea ban.....Senks.miss you too. Usalule wazima lakn? Umepona lakn kuchakachuliwa humu ndani.najua wewe ni mtoto mzuri.......
Hivi unajua nnavyokumiss mchumba?
Usalule bombaa tunakamua Ulanzi....hahahaha Swaga za humu ndani siku izi ukicheza kidogo unachezea ban.....
BTW....ushazoea Vitimoto vya huko?
Nasikia habari zako kuwa umefurahi sipo humu ndani.Wewe ushakuwa babu wa wote,sio babu yangu peke yangu.Na mimi sitaki maneno na malumbano,nimejiweka pembeni niepuke msongamano wa infideliti
Wafuatao walete matiti yao leo babu ayafanyie uchunguzi ajue kama ni mali yao, ya babu au ya watoto wao (Upimaji wa saratani ya matiti hautahusika)
Rose 1980
Maty
Mama Big
Mj1
Firstlady
Nyamayao
Afrodenzi
Watatu wa kwanza watakaowahi, watapatiwa zawadi ya uji wa babu.
Karibuni