Matiti ni mali ya nani?


sijui ndo kibuti hiki?my God!!!!
 
sijui ndo kibuti hiki?my God!!!!

ndo manake!
mwanaume gan uyoga aulet kazi wivu tu ebu potea uko
na usinijue jue from today....i dnt want to c ya shoes wala gidam zake...
jaman lin waleta kitu yangu we mwanaume?
skuachii mpk nipate nilichotaka ..
 
Matiti ni mali yangu mwenyewe!!! Ninayaruhusu kutumiwa na mwingine (mtoto, mume) kulingana na mahitajio na mazingira. Full stop!!!!

Unajidanganya mama mdogo!!!! Matiti ni mali yetu sote, mimi baba mtu, mama mtu na mtoto mtu. Mimi baba mtu na mtoto mtu tumempa mama mtu matiti ili atuhifadhie. Kuna kipindi mtoto mtu anakuja kuyachukua na ukifika wakati wa kula chakula cha usiku nayachukua mie baba mtu, tena nisipoyachukua huwa unalalamika kwa nini siyachukuwi.
 
:banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease:
 
Mama mdogo hapo umesema nami najua matiti ni ya mwanamke mwenyewe!!!!!!!!!!!!
 
ulanz upo?

Wafuatao walete matiti yao leo babu ayafanyie uchunguzi ajue kama ni mali yao, ya babu au ya watoto wao (Upimaji wa saratani ya matiti hautahusika)
Rose 1980
Maty
Mama Big
Mj1
Firstlady
Nyamayao
Afrodenzi


Watatu wa kwanza watakaowahi, watapatiwa zawadi ya uji wa babu.

Karibuni
 
Senks.miss you too. Usalule wazima lakn? Umepona lakn kuchakachuliwa humu ndani.najua wewe ni mtoto mzuri.......
Usalule bombaa tunakamua Ulanzi....hahahaha Swaga za humu ndani siku izi ukicheza kidogo unachezea ban.....
BTW....ushazoea Vitimoto vya huko?
 
Hivi unajua nnavyokumiss mchumba?

Nasikia habari zako kuwa umefurahi sipo humu ndani.Wewe ushakuwa babu wa wote,sio babu yangu peke yangu.Na mimi sitaki maneno na malumbano,nimejiweka pembeni niepuke msongamano wa infideliti
 
Usalule bombaa tunakamua Ulanzi....hahahaha Swaga za humu ndani siku izi ukicheza kidogo unachezea ban.....
BTW....ushazoea Vitimoto vya huko?

Nampa Big up invizibo,anarekebisha tabia vizuri.Hotchair mie sina mzuka nazo......Sitaki kulipia gym bila sababu...
 
Nasikia habari zako kuwa umefurahi sipo humu ndani.Wewe ushakuwa babu wa wote,sio babu yangu peke yangu.Na mimi sitaki maneno na malumbano,nimejiweka pembeni niepuke msongamano wa infideliti

Wewe si mjukuu wangu. Wewe ni mchumbangu. Yaani bibi yao hawa wajukuu zangu wote!
 

sawa ngoja nimwombe rr anilete...asi atabakia nje wakat unaniofanyia uchunguz eennh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…