Okay okay...I might as well do coz it was just hot air anyway.....the "threat" fell flat on it's nose.
aha bwana usijenifanya nirudi nyumbani bwana..
nimekuachia kazi ya kumtunza babu ...
halafu hujui hata hana meno....
mpaka mjirani wananiambia .. hivi kweli..
ndo maana akili zinamruka lol
Unajua hadi umri alionao babu bado anaruka majoka anakimbizana na vibinti vidogo
Matiti hayahudumiwi kwa meno.......
Babu hatunzwi na infiiz, anatunzwa na wajukuu. Haya lete maziwa yako hapa mjukuu wangu mpenzi.
hahahahahahaha lol si mlaumu kama anaishi nawe...
Who dat sey dey gon' ban O.P.P.? Who dat?
Hivi matiti ya Babu ni mali ya nani?
Hivi matiti ya Babu ni mali ya nani?
Babu hana matiti. babu ana chuchu kwa ajili ya wajukuu zake.
nimwambia hapo awali
penis ni mali yangu
Vagina ni mali yake
na matiti ni mali ya shirika (yeye,yangu na watoto)
u can join us if u want 2..
hahaahahahah lol aha babu unavichekesho ile mbaya ...
haya basi wewe utawadanganya wajukuu na chuchu zako..
na mimi nta mnyonyesha mme wangu....
Safari ya kulala imeishia wapi kajukuu kangu? Au matiti yanakusumbua? Mletee babu ayapatie tiba mbadala.
Mme hanyonyeshi, ananyonyeshwa mtoto.
Ile kitu inaitwa matiti, yaweza kuwa
Ni hoteli ya mtoto,
Ni maputo ya baba,
Ni mwili wa mama.
Sasa utamnyonyeshaje mtu maputo?
hahahahhahahah lol babu wewe ..
we ndo umenifanya nisilale
sasa hivi sasa 1.15am (just after midnite)
uzuro mmoja niko mwenyewe..
otherwise ningesha vutwa lol
hahahhaahah lol
basi mi ntakuwa namnyonyesha na ye atakuwa anamdanganyia mi nikichoka kunyonyesha ...
au vipi....
Pole sana. Utakuwa unakabiliwa na ugonjwa wa matitiism. Hiyo dawa yake anayo babu peke yake. njoo akutibu.