Matiti ni mali ya nani?

Anamdanganyia nini? Baba hana matiti. ana chuchu. Sasa umpe mtoto chuchu, ukute chuchu zenyewe zimezingirwa na minyoya, unataka mtoto afe kwa pumu?

hahahahahahahahaah lol acha kunichekesha tumbo linaanza kuniuma ajili ya kucheka lol
basi tutamwabie ampe tu bottle...
halafu binafsi sipendi mwanaume mwenye nywele kifuani...
 
hahahahahahahahaah lol acha kunichekesha tumbo linaanza kuniuma ajili ya kucheka lol
basi tutamwabie ampe tu bottle...
halafu binafsi sipendi mwanaume mwenye nywele kifuani...

Babu hana nywele kifuani. Ana vinyweleo. Mletee hayo matiti sasa.
 
Wewe nakamua matiti tu, kukukwepesha na saratani ya matiti...nothing more nothing less.

labda ufanye practise kidogo kwa ngombe kwanza babu ..
utakamua kwa kutumia mdomo au mikono..
manake mmmmmhhhh
 
Babu usije sema matiti ya mke wangu ni mali yako
Mkeo si mjukuu wangu? Matiti yote ya wajukuu zangu ni mali yangu

labda ufanye practise kidogo kwa ngombe kwanza babu ..
utakamua kwa kutumia mdomo au mikono..
manake mmmmmhhhh

Thats animal calling, you have been warned........matiti tafadhali mjukuu, wayaleta saa ngapi?
 
Mkeo si mjukuu wangu? Matiti yote ya wajukuu zangu ni mali yangu

Thats animal calling, you have been warned........matiti tafadhali mjukuu, wayaleta saa ngapi?

hahahahahahhah bwana babu
mi ngoja nikalale, niwaze, niote halafu kesho
nikiamka ntakuja na majibu yote ...

nta mwomba The Finest akutunze mpaka mi niamke
na usimsumbue sana ...
sawa babu
 
hahahahahahhah bwana babu
mi ngoja nikalale, niwaze, niote halafu kesho
nikiamka ntakuja na majibu yote ...

nta mwomba The Finest akutunze mpaka mi niamke
na usimsumbue sana ...
sawa babu

Sijawahi kuwa na babu mbishi kama huyu yeye kila kitu anadai ni chake
 
hahahahahahhah bwana babu
mi ngoja nikalale, niwaze, niote halafu kesho
nikiamka ntakuja na majibu yote ...

nta mwomba The Finest akutunze mpaka mi niamke
na usimsumbue sana ...
sawa babu

Haya mama ulale unono, nami ngoja niwahi mafoleni ya Dar, nisijekuta bia zimeisha bure.

Have sweetest dreams, darling.
 
mtunze babu mi ngoja nipumzike kidogo..
akikusumbua sana mpe dawa za kulala na ile Gin yake..
usimzidishie lakini..

Kuliko kumpa hiyo bora nimpe dawa za usingizi za kawaida alale maana nikimpa ataanza kusumbua wajukuu zake
 
Kuliko kumpa hiyo bora nimpe dawa za usingizi za kawaida alale maana nikimpa ataanza kusumbua wajukuu zake

hahahaahahahahhah lol ukichanganya zote ponda kwenye kijiko atalala taka asitake....
badala ya dawa mbili mpe nne.. maana huyo babu mgumu kweli lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…