afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Anamdanganyia nini? Baba hana matiti. ana chuchu. Sasa umpe mtoto chuchu, ukute chuchu zenyewe zimezingirwa na minyoya, unataka mtoto afe kwa pumu?
hahahahahahahahaah lol acha kunichekesha tumbo linaanza kuniuma ajili ya kucheka lol
basi tutamwabie ampe tu bottle...
halafu binafsi sipendi mwanaume mwenye nywele kifuani...