Matiti ni mali ya nani?

Kamanda naona kumekucha huko mtaa wa pili.
kumekucha na makucha yake

lakini nyie cousinz sasa mmezidi

yani mtu anauliza matiti mali ya nani?? hivi tukianza hivyo kweli, si choo kitadai tIGO, ushuzi utadai pua, umbeya utadai sikio... mawigi yatadai nywele zake na simu zitdai midomo??

kha... mie nilijua alichokupa mungu chako, kumbe vina wenyewe.. ngoja nijisachi
 
Huwezi kumjua. Uta guess tu kwamba huenda ni fulani lakini kuthibitisha hutaweza. Matokeo yake ni watu kukaa kwenye vikao vya baa na kuanza kuguess nani ana ID ngapi na ID ipi ina belong kwa nani. Ni guesswork tu....

Lol!!!
 
Vipi mkuu.....
Hapa unafanya petition ya mtu kutolewa jela?
 
Hahahaha! Na Viti vitadai meza, vyupa vitadai glasi, glasi zitadai red label, red label itamdai Acid.............. Acid atamwamisha mtu meza!!!
 
Cousin angalia Asprin anaweza kukuuliza wewe ni mali ya nani
 
Vipi mkuu.....
Hapa unafanya petition ya mtu kutolewa jela?

Hapana....nilikuwa natoa jibu stahilifu kwa The Finest aliyetaka kuleta mambo ya unajimu hapa. SI unaona hata mwenye kanijibu kwa kicheko.....jibu langu lilikuwa spot on. Ni kweli kwenye hvyo vikao vya JJ na kwingineko watu vilevi vikishakolea wanaanza kuspeculate nani ana ID ngapi JF....

Au wewe unaweza kabisa kwa uhakika kujua nani ni nani humu?
 
Hahahaha! Na Viti vitadai meza, vyupa vitadai glasi, glasi zitadai red label, red label itamdai Acid.............. Acid atamwamisha mtu meza!!!
hahahaaaaaaaaaaa..... na meza itaanza upya kudi glasi, na glasi itadai chupa, chupa itadai red label, na red label itadai acid, na acid atahamisha meza,.... na meza itadai chupa

LOL
 
Kama ni hivyo nampa tahadhari, itakapo tokea akapatikana mtu anayewe ile kitu bila matiti alafu nawe ukapandisha midadi ndio utakuwa mwisho wa yeye kupewa matiti ayaharibu kwa kuyalainisha.
 
Hahahaha! Na Viti vitadai meza, vyupa vitadai glasi, glasi zitadai red label, red label itamdai Acid.............. Acid atamwamisha mtu meza!!!

Kitendo cha kutuwekea masharti ya kuja baa mpya sipendi kabisa
 
Hahahaha! Na Viti vitadai meza, vyupa vitadai glasi, glasi zitadai red label, red label itamdai Acid.............. Acid atamwamisha mtu meza!!!

na meza itadia vyupa....mzunguka unaanza tena....
 
Waridi uko wapi sasa mbona huulizi? Au Roya kakukataza? Mimi sing'ati bana.....
 
hilo nalo neno!!!
 
Aisee kumbe nilikuwa sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…