prof issa ameongea point muhimu sana,hicho kitu kinachangiwa na factor nyingi sana,ambapo nyingine sio factor ambazo zinaweza kuonekana kibinadamu,ambapo tunarudi kulekule kwa sir GOD katika maswala mazima ya uumbaji.kwa hiyo mi nachoweza kusema kulingana na swali lililoulizwami naweza usema wakati mwingine ndio na wakati mwingine hapaNA.