Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Habari
Nina tatizo la matiti {yote mawili} kuhisi yamekuwa mazito na yanauma kwa kuvuta na kuacha..nikivua braa nahisi yanadondoka kwa maumivu ninayopata. Nilidhani ni kawaida ila mbona hayaponi...ni tatizo au ni mfumo tu wa hormones umebadilika pia nikiminya minya nahis maumivu na wakati wa kuoga shurti nioge kwa adabu nikigusa vibaya naweza hata kulia.
Ushauri tafadhali
NB: Siku ya 4 sasa
Sina ujauzito na wala sipo kwenye ovulation
Mzunguko wangu ni mrefu wa siku 30
ya kwangu yaliwahi kuuma mara tu baada ya kujifungua tena yalikua yananitesa sana maana hadi nilikua napata homa,mama akawa anankanda na maji vuguvugu halafu napaka mafuta ya nazi,pole ni mabadiliko ya mwili itaisha tu