Matofali ya kujenga yanauzwa yapo kigamboni kibada

Matofali ya kujenga yanauzwa yapo kigamboni kibada

prophet_tz

Senior Member
Joined
Feb 14, 2022
Posts
176
Reaction score
302
Habari za mda huu wana jf kuna matofali ya kujenga yanauzwa yapo kigamboni kibada mwenye kuhitaji tafadhali tuwasiliane ....... hakuna dalali wala mtu kati kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0742612561

Nahitaji mtu aliye serious tufanye biashara only
View attachment 2172614
 
Bei
Yapo kiasi gani
Nchi ngapi
Gharama za usafiri na kupakia na kushusha?
 
Wewe jamaa kama amesema uongo emb tupe ukweli unauza shilingi ngapi na idadi ni mangapi
 
Mbona Bei ghali hivyo, tofali moja Tsh 2500 kweli?
Halafu mbona kama yanaonekana ni muda mrefu sana?
 
Jamaa alkuwa na tofali 2500 za 5" na alkuwa anauza kwa 750 tsh...na mazungumzo yalukuwepo, wengine wazushi tu humu
 
Back
Top Bottom