prophet_tz
Senior Member
- Feb 14, 2022
- 176
- 302
- Thread starter
- #21
Wengine siyo wakujibizana nao mkuu ... mawasiliano yapo pale kama alikuwa na uhitaji angepiga... kwasabu mda wakuingia jf tuna pata mara chache ndiyo maaana nkasema mwenyekuhitaji serious awasiliane ...sasa alikuwa anashindwa nini kusema?