prophet_tz
Senior Member
- Feb 14, 2022
- 176
- 302
Tujenge chumba kimoja mkuu,wageni hatutaki.Tunadizain vizuriiKuna matofali yasiyo ya kujenga? Umbali gani kutoka hapo hadi serious?
Tujenge chumba kimoja mkuu,wageni hatutaki.Tunadizain vizurii
Ninae mmoja...unataka kumkula?Chumba kimoja hakitoshi, napenda familia kubwa ili wadogo zako wa kike pia wahamie…. watakuwa mikono salama.
Ninae mmoja...unataka kumkula?
Hagombezwi yule ni mkubwa tayari...labda kama unataka utububune wote😂La hasha, akiwa na tabia mbaya nitamkemea na kukwambia.
Hagombezwi yule ni mkubwa tayari...labda kama unataka utububune wote[emoji23]
Sawa mkuuHebu ukuje piemu tuone tutafanyaje!
Mbona Bei ghali hivyo, tofali moja Tsh 2500 kweli?
Halafu mbona kama yanaonekana ni muda mrefu sana?
Sikuoi hata ukijipendekeza kwangu ...
True [emoji120]Jamaa alkuwa na tofali 2500 za 5" na alkuwa anauza kwa 750 tsh...na mazungumzo yalukuwepo, wengine wazushi tu humu
Basi nitakuoa, naona unalalamika huyooo...Nuru ni jina la kike, loveness ni diva so acha papara.
Vip umeshayauza au bado?True [emoji120]
sasa alikuwa anashindwa nini kusema?Jamaa alkuwa na tofali 2500 za 5" na alkuwa anauza kwa 750 tsh...na mazungumzo yalukuwepo, wengine wazushi tu humu