Matofali ya kujenga yanauzwa yapo kigamboni kibada

sasa alikuwa anashindwa nini kusema?
Wengine siyo wakujibizana nao mkuu ... mawasiliano yapo pale kama alikuwa na uhitaji angepiga... kwasabu mda wakuingia jf tuna pata mara chache ndiyo maaana nkasema mwenyekuhitaji serious awasiliane ...
 
Mkuu kwanini sisi watanzania hatuko honesty? Umeshindwa kutaja idadi ya tofali, size, aina na bei moja kwa moja bila kusubiri kuulizwa ulizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…