Umeelezwa kuwa yamezuiliwa kwa sababu gani!?? Hukulipa ada ya mtihani!??, Je ni continous assessment hazikupelekwa or what, Kwenye mtandao wa NECTA wameainisha kwa alama sababu za kuzuiwa matokeo, tuanzie hapo kwanza.
ameandikiwa hivi?, *E, mbele ya jina lake hala kwa juu kabisa kabisa kuna neno kama hili, withheld
yaani , hayaonekani?< sijui ndio kuzuiliwa au sijui nisemeje?, nimechanganyikiwa.