Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

Alikuja? Au alijificha hadi sasa. Mimi nasema kuliko hawa ma hayawani wapite in Mara mia waende waarabu pekee au mwarabu na Mkongo. Mijamaa INA midomo hiyoo kama mipaka shume. Shwineee. Wacha Jmosi ifike wakongo wafanye yao, ili warudi huku kwenye ligi yetu ya ndondo cup, alafu wakamiwe na kina Biashara, Alliance, Kagera na Mtibwa, hapo ndiyo watajuwa kuwa maharage si mboga.
Mkuu njoo tuongee sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom