Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

Oh well.. we have been here before.. and we are going to be here again. The circle of illusion keep on spinning.. What was, is still is and will surely be..
Sijaona Comments zako mzee wangu mwanakijiji..!! Nahitaji uchambuzi wa kina kuhusu matokeo haya na kwa ajili ya uchaguzi ujao na maana yake nini kwa Taifa na Current affairs za siasa tanzania
 
Habari hii inaleta mwanga kidogo juu ya yaliyojiri huko Biharamuro

Kuhesabu kura upya ndo ulikuwa mtego na kosa la kiufundi.
 
Sijaona Comments zako mzee wangu mwanakijiji..!! Nahitaji uchambuzi wa kina kuhusu matokeo haya na kwa ajili ya uchaguzi ujao na maana yake nini kwa Taifa na Current affairs za siasa tanzania

Mbona maoni yangu niliyatoa kabla ya Chadema kwenda Biharamulo. I still stand by them.
 
Balantanda; Umenena wasibweteke; ni kweli lakini mpaka lini kamatume ni ile ile? kimsingi huu wizi mbaya sana; unamuibia haki mwananchi ambaye unatakiwa kumuongoza; unaanza kwanza kumuibia then ndio unamtawala; this is very interesting;

Binti Maria Nyerere Naungana na wewe; inabidi kukenyalize politics zetu; chadema they are very soft; ofcourse wanataka amani iliyopo wasiwe chanzo chao ila sasa hili linaanza kuvuka mipaka; unamuibia mwananchi kwanza then unamtawala; sijui ni philosophy gani hii ndani ya CCM; i hope wananchi wataamua;
Chadema nyie ni chama cha umma si chenu; wananchi wengi kule wamepiga kura hata hamuawajui; kuweni wastahimilivu; sera ndio nguzo ya kutawala; endelezeni mapambano ili muweze kushinda kwa amani ( CCM wanawatafutia sababu ya kuvunja amani ili wawavunjilie mbali kwa m abavu); wananchi ndio watawafukuza CCM; na hawatakuwa na jinsi; fungueni matawi; account; m-diclare interest zenu k wa jamii kuwa ni chama chao na si cha viongozi; chaguaneni kwa usawa na amani ktk uchaguzi wenu wa ndani (Mbowe kazi yako nimeiona in 4yrs si chadema ya makani wala mtei tena-Big up)
Wajumbe wengine
Tuwaunge mkono chadema; kinafanya kazi ktk mazingiza magumu; tukiwezeshe; naoomba ikiwezekana hata visenti vidogo vyetu vya mhogo na kachumbali tuwape kidogo; waende vijijini; mmeona B'Mulo. Waweke wazi hiki ni chama cha watu na sasa kitoe account zao ili watu waweke walau kidogo; mapinduzi huletwa na rais si vyama na rais ni sisi; wizi huu una muda wake; itafika utakwama na watapata aibu za maisha
 
Mbona maoni yangu niliyatoa kabla ya Chadema kwenda Biharamulo. I still stand by them.
Mimi kama ni Mwalimu wako nakupa GPA 4:9 hivi maana nimerejea comments zako na uliwahi kumbe kusema na kueleza mambo haya ni Kweli Kaka!! kazi unayofanya ni nzuri sana Mzee wangul Labda twende zetu kijijini kwetu na nitakupa jembe la pili ili tuweze kushinda chaguzi za mazigaombwe kama hizi ndogondogo za Tanzania. Nimekubali japo am very sad man
 
Kwa hiyo unabaki kwenye msimamo huo huo hata kama ndio matokeo yako hivyo??
 
Mukasa keshatangazwa mshindi. Hakuna sababu ya watu kuumia sana au kuwa na anza na hisia ya kuona kuonewa. Japo kuwa hisia hizo zina msingi uhalisia unatulazimisha kukubali kuwa njia ya kuelekea demokrasia haiwezi kuwa mteremko hivyo.
 
Umesomeka mkuu?,lakini why kila siku kelele za wizi wa kura tu?,na ni kwa nini kila siku CCM ikishinda wanaambiwa wameiba kura???,ni mbinu zipi hizo zinatumika kuiba kura?(kama vp zianikwe hapa ili zipatikane njia za ku counter huo wizi wa kura) apart from kuwa na free and faie NEC,maana tangu 1995 malalamiko ya wizi wa kura hayaishi na mara nyingi mlengwa wa malalamiko haya ni CCM tu...What if CHADEMA wangeshinda(kama ilivyokuwa TARIME) kungekuwa na maalalamiko ya Wizi wa kura....Solution ni moja tu nayo ni..........NEC
 
Nyie akina Invisible mbona mnachachawa na kubadilsha heading ku sympathise na Chadema. JF mambo shaghala baghala bora mtangaze wameshinda chadema labda tutakuwa na mtirirko mzuri
 
Poa bwana mzee habari ndio hiyo
 
Mukasa keshatangazwa mshindi. Hakuna sababu ya watu kuumia sana au kuwa na anza na hisia ya kuona kuonewa. Japo kuwa hisia hizo zina msingi uhalisia unatulazimisha kukubali kuwa njia ya kuelekea demokrasia haiwezi kuwa mteremko hivyo.
Kazi ipo kubwa sana, maana unapotaka kushindana na watu wanaotumia njia za Kishetani kushinda lazima uhai wa watu kutolewa hata kupotza maisha. Ndiyo itatuchukua muda sana katika kujenga hata CCM kukubali kuwa tupo katika ushindani na mwenye kushinda achiwe na ushindi wake!! Kasoro NEC ya Makame na wizi wa kura
 
Mkuu Invisible,mbona malalamiko ya CHADEMA hayaonekani???...kuna nini hapa?,maana kilichopo ni kwamba umeamua kuigawanya ileile thread ya awali kwa heading mpya.Ama una lako jambo yakhe???
 
Inaonekana hii forum ya great thinkers imejaa ARMCHAIR politicians,ambao wako cut off na really events on the ground,what else can explain CCM kushindwa biharamulo humu jamvini wakati results ni opposite,democracy tanzania inasuasua cause we dwell too much on WISHFULL thinking
 
Inasikitisha sana Ndugu zangu Watanzania. Hii inaonesha kuwa viongozi wetu hawana mtazamo wa kuona mbali. Suala la kuiba Kura, sio endelevu na matokeo yake ni kuuingiza nchi kwenye vurugu kama ilivyotokea kwa majirani wetu wa Kenya.

Kukua kwa Technolojia ya mawasiliano kuna rahisisha mawasiliano kwa sababu sehemu nyingi za Tanzania zina mtandao wa simu za mkononi na pia unaweza ukaunganishwa kwenye internet. Hivi ndivyo matokeo ya Biharamulo yalivyopatikana na mashahidi waliokwepo kwenye vituo wamethibitisha ushindi wa CHADEMA!! Je, Tunaelekea wapi? Madaraka yamegeuzwa 'Club' ya watu wachache ambao hawataki wengine waingie. Niaminivyo mimi nikuwa Tanzania inabadilika, na Mbinu za CCM hazina muda mrefu!!!2010 ndo mwanzo wa mwisho wao.Tuombe uzima!!!
 
Teh teh..you might be one of them...lol
 


.........when mzee wa Busara anapokosa busara....
 

Hakuna atakeyamwaga Damu sababu ya chadema ,hizo ni fikra mfu hazitopata kutokea.Nijuavyo mie asilimia kubwa ya WTZ sio wanachama wa chama chochote wao hupiga kura kulingana na upepo wa mgombea hawana itikadi zozote zitakazo wawezesha kubeba mapanga.

Usifananishe yaliyotokea kenya kuja kutokea TZ,na hata hivyo hizo ni hasira zako tu baada ya kupigwa chini,Sisi hatuna siasa za chuki nenda leo B'mulo utakuta wote wanakula mpunga tu pamoja.
 
Well said mkuu..Ni kitu cha kushangaza sana kuifananisha Kenya na Tanzania...Eti DAMU inwagike kisa CCM imeshinda!!!,tobaaaa...Cha msingi CHADEMA wakubali tu kushindwa na waanze kujiandaa kwa uchaguzi wa mwakani badala ya kukaa na kuanza kujadili mambo ya faulo na mawazo haya MACHAFU ya kumwaga damu...Ukute hata huyo anayetoa mawazo ya kumwaga damu hayupo TZ wala Biharamuro na haijui Biharamuro bali anatoa mawazo hayo kwa kupitia michango(posts) inayotolewa hapa JF..Ni Mtazamo wangu tu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…