Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

asante mkuuu, nakuaminia\. asante sana
 
Taarifa kamili ni kwamba Chadema wamerudia mambo ya tarime .Chadema imeshinda Biharamulo habari za uhakika ,unaweza kupiga hapa na kuujua ukweli +255 787 474 707


Hongera sana Chadema
 

Aisee,
CCM watu hatari sana. MUNGU awaponye hao majeruhi.
 
Naona small towns za Tz kumekucha. Hongereni Chadema. Naanza kuamini kwamba mwisho wa enzi umekaribia.
 
Kwa sasa simu za wajumbe wengi walio huko zimekuwa 'busy' si kawaida...
 
Hongera CHADEMA,

Hili jimbo jipya kuweka kibindoni, hapa munastahili pongezi hata zaidi ya Tarime...

Ila kazeni buti, kwa CCM hili jimbo halikuwa lao, so utaona watawapongeza haraka sana, maana hawajapoteza bado.

Nadhani kwa wao watasema kura zimeongezeka.
 
Duh! Mkuu kwa data hapo ni kwamba CHadema na CCM combined wamezoa karibia kura zote. Vyama vingine vilienda kufanya mapumziko? Naona hata CUF sasa tunaanza kuona mwisho wao.
 
Hongereni chadema kwa kututowa kimasomaso.
 
presha imeshuka, napasha popcorn.
Hongera Chadema mmetufuta machozi.
 
Duh! Mkuu kwa data hapo ni kwamba CHadema na CCM combined wamezoa karibia kura zote. Vyama vingine vilienda kufanya mapumziko? Naona hata CUF sasa tunaanza kuona mwisho wao.
CUF na TLP walikuwa wasindikizaji kwenye mbio hizi... Kura zao zinaashiria kuwa walikuwa wanapoteza muda tu, baadhi ya vituo walikuwa wanapata kura 0!
 
Kwa sasa simu za wajumbe wengi walio huko zimekuwa 'busy' si kawaida...
ya Masatu ndio kabisa is not reachable......sasa yule dogo mukasa arudi akaendeleze ICT na ajue bado tunamulika uraia wake.......
 
Hongereni CHADEMA kwa ushindi huu. A red light to CCM.
Ngoja niingie jikoni nikakaange kiti moto nijipongeze.

Asante Invisible, Pasco et al kwa kazi yenu nzuri ya kutufanya tuwe kama tupo Biharamulo kwenyewe, pengine hata na kuzidi maana nina uhakika kuna watu Biharamulo kwenyewe hawana hizi taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…