Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Ni kweli mkuu,CHADEMA wanahitaji pongezi sana kwani kwa kipindi kifupi wameonesha wana mikakati madhubuti sana ya kukifanya chama chao kiwe chenye nguvu na kuwa tishio kwa CCM,cha msingi wasibweteke na mafanikio haya,wajiimarishe zaidi(hasa vijijini maana matokeo ya chaguzi za karibuni yaonesha wanashinda sana mijini kuliko vijijini),wawe na mikakati ya muda mrefu...wasije wakapata anguko kama lile la CUF ambao kimsingi kwa sasa WAMEFULIATrue, du... kazi ipo, yaani mwili unatetetetemeka sassaaasasa hiiiiviii... siiiieelewi...
Pamoja na yote bado naipongeza CHADEMA!!!