Matokeo Darasa la Nne Mkoa wa pwani.

qq555

New Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Wadau Naomba kuuliza inakuwaje Mkoa wa pwani matokeo ya Darasa la saba hayajatoka hadi hivi sasa hali shule za DSM matokeo yalishatoka, tokea mwanzoni mwa January. je kuna uzembe wa utendaji au Wizara wanatoa majibu kwa Mafungu? Je tutafika na jii Elimu ya Tanzania?
 

Edit hiyo heading
 
Heading umesema matokeo ya darasa la nne kwenye text unasema darasa la saba!!!! Darasa la saba 2013 waliofaulu wako sekondari (binasfi au za serikali) siku zimepita sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…