Wadau Naomba kuuliza inakuwaje Mkoa wa pwani matokeo ya Darasa la saba hayajatoka hadi hivi sasa hali shule za DSM matokeo yalishatoka, tokea mwanzoni mwa January. je kuna uzembe wa utendaji au Wizara wanatoa majibu kwa Mafungu? Je tutafika na jii Elimu ya Tanzania?